GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,300
Marahaba kwa niaba yake, ntampa nikienda camp nouMkuu unachosema ni ukweli kabisaaa Mimi ni mmoja wapo mtu niliyekuwa namwona jamaa anatisha ila ila hamzidi CR7....Ila baada ya Mechi ya Jana usiku nilimwangalia huyu messi kwa umakini sana na binafsi nimenyoosha mikono! Huyu jamaa balaaa jamani...Ronaldo namkubali ila shidaa yake akishapigwa pini anabaki kulalama tu.....ila mess lazima akupunguze tu na ujue unakadi yako inakusubiri! Shikamoo Mess