Hongera .. travela na explorer wetu !!! natamani nipaone mubashara !!Hhahahahahhaa as usual Kasie mpenda kusafiri, hapo sijawahi kanyaga ila naweza kisia...............
Hapo ni Mkoa wa Tanga au Kilimanjaro, maeneo yaweza kuwa Lushoto aidha mazinde juu au Kibosho.
Ofcourse ni maeneo ya shule ya sekondari.........
Najua sitopata zawadi ila na kupenda kwangu kusafiri ntajitahidi nidhuru baadhi ya shule za Lushoto na Kilimanjaro nipige picha hapo kisha ntakutumia.
Good day mtoa mada.
Kasie.