Lord Lofa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,386
- 2,381
eti lets pray for him!!! for what? MUNGU afanye nini? ili hali majority mmemuhitaji huyo dictator.MUNGU awasaidie kwa lipi. Watu wa israel walichoka uongozi wa manabii wakatata wafalme pamoja na MUNGU kuwaambia ukweli juu ya mambo watakayofanyiwa na mfalme ambaye MUNGU angewapa bado wao wakataka huyo huyo. MUNGU aliwaeleza Sauli atawatesa,atawabaka binti zenu na wake zenu,atawauwa,atawatumikisheni bado wakamtaka huyo. taifa la israel lina historia nzuri sana. wana wa israeli walipokuwa wanatolewa utumwani misri kwenda kaanani kijografia safari yao ingewachukua muda wa wiki moja hadi mbili. lakini kwa kuwa walikuwa vichwa nazi na ujinga wao ukawagharimu miaka 40 safarini. Na sisi ndo hivo hivo. wewe unasema mtu dictator wengi mmemchagua hivi MUNGU afanye nini? do you think huyu hadi anakuwa dictator MUNGU alikuwa likizo? au mlikuwa hamjaanza kumwombea kama mlianza kumwombea na bado akabaki kuwa dictator unafikiri kwa kuwa kapata urais basi sala zenu zitafanya kazi? kuna akili hazichunguziki kweli