Iyerdoy
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,720
- 1,907
Sio wapumbavu hata kidogo. Wanataka sana kuondoka ila HAMAS huwazuia kwa nguvu na atakayethubutu kutotii amri hiyo huuawa papo hapo au anayeonekana kutokubaliana (mpinzani)hukamatwa/hutekwa na hupotezwa.Na walivyo wapumbavu hawataondoka,
HAMAS ndivyo watakavyosema na wameshazoeleka ndo wimbo wao huo. Hata kuku akifa mtaani HAMAS wataimba wimbo huo-huo "ameua wanawake na watoto".Wakipigwa watasema ameua wanawake na watoto.
Mungu awasaidie wale waliozuiliwa na kulazimishwa kubaki kama ngao walau wasalimike. Natanguliza POLE zangu za dhati kwao.Shughuli itapelekwa leo. Kesho vilio🫡.