Mzee lusaka city umenena na husiende mbali.Nenda Congo ndo utajua wapo watanzania tena watu wanatafuta maisha ni balaa.
Lakini si wanaishi kwa vigezo na taratibu za nchi husika???Mombasa,Nairobi,kisumu na hata ktk miji midogo wamejaa wa Tz.Ukizunguka mtu,ndipo unaelewa.
Turahisishe?? Yani kuna watu hamjui Nchi inapoelekea.Tunachotakiwa kufanya turahisishe taratibu ya vibali kwa wageni hasa kwa nchi zenye mahusiano mema nasi, na uhamiaji waondoe upokeaji wa Rushwa ndilo tatizo kubwa.
Lakini si wanaishi kwa vigezo na taratibu za nchi husika???
Mmh hebu tuweni serious kidogo... Yani tuache kufuata taratibu za nchi yetu kwa ajili ya kuhofia wananchi wetu wanaoishi nchi nyingine kinyume na taratibu kwa hofu ya kuwa watatendewa vibaya?nimeshawahi kuishi hzo nchi z kusini mwa afrika.watz wanaoishi huko ni wengi sna nahawana vibali.ukifika mozambique ndyo usiseme wamejaa kila konaya nchi.malawi zambia botswana hapo ndyo usiseme mkuu.wanaishi kwa ujanjaujanja tu...kwa ushauri wangu tu hli la uhamiaji wangelitazama kwa upya tna
nimeshawahi kuishi hzo nchi z kusini mwa afrika.watz wanaoishi huko ni wengi sna nahawana vibali.ukifika mozambique ndyo usiseme wamejaa kila konaya nchi.malawi zambia botswana hapo ndyo usiseme mkuu.wanaishi kwa ujanjaujanja tu...kwa ushauri wangu tu hli la uhamiaji wangelitazama kwa upya tna
Huwezi kuniambia kitu hasa hao tunaowaita majirani hasa wakenya kikichonipata Nairobi mwaka 1999 wee acha tuWachina,wahindi na watu wa mashariki ya mbali ni sawa ila kwa majirani zetu tujaribu kutumia hekima fulani.