lusaka city
Senior Member
- Mar 17, 2015
- 146
- 116
asilimia 80 hawafanyi kazi kisheriaMkuu umenena ila hawo wa kwetu nje ya nchi ni kweli hawapo kisheria?
afu chuki na sifa za kisiasa tunapelekea kuwanyanyasa wageni wetuKw taarifa za uhakika ..Tena huko CHINA ndo wapo waTZ wengi sana bila vibali !!
ikiwa jino kwa jino tutaumia sisi watanzania tunaongoza kutoka nje ya nchi vinara wakiwa wanaigeria apa bongo pagumu sana kutafuta maishabasi iwe jno kwa jino
Mkuu LC Hapa TZ hatujifunzi kkbs... Hatujifunzi kwa makosa tunayotenda !!! Ona mfano wa bomoa bomoa...!! Ona udhalilishaji wa Albino !! Ona Kamatkamata za mgambo!!..nknkafu chuki na sifa za kisiasa tunapelekea kuwanyanyasa wageni wetu
basi magu atulieikiwa jino kwa jino tutaumia sisi watanzania tunaongoza kutoka nje ya nchi vinara wakiwa wanaigeria apa bongo pagumu sana kutafuta maisha
Aisee umepotoka mbaya hizo nchi unazozisema kwanza ni noma kuliko hata Tanzania ambako unaweza kukaribishwa na kusaidiwa na wenyeji lakini sio huko ulikotaja hasa Malawi Kenya Uganda na South Africa, nimetaja hizo kwakuwa nilishawahi kuishi na kufanya kazi hukoWatanzania tumekuwa na midomo kuwasema wakenya na wageni wengine kuwa hawatakiwi nchini mwetu tusisahau pia watanzania tunaongoza kwa idadi kubwa kuvamia nchi za watu.
Mfano mzuri soko la Comesa nchini Zambia asilimia 90% ya watu wanaofanya biashara pale ni watanzania na kwa asilimia zaidi ya 70 hawana work permit ukiacha apo nenda mitaani wako wakumwaga.
Nenda Malawi Lilongwe na Blantyre, nenda Zimbabwe Afrika Kusini usiseme Johanesberg ni shida, tusisahahau tunandugu wanaoishi nje ya nchi ni wengi sana idara ya uhamiaji kamata kamata yenu isije kuwaponza watanzania hawa.
we ni gasho unataka kuruhusiwa elewa mada mkuuDuh,, kwa vile Malawa wameruhusu ushoga na sisi turuhusu????