Huyo mwenezi nae tackle tu...Hapo chini ungeandika
CC Mwenezi
Hiyo idara pangechimbika
Wala sio pembezoni.. hata mjiniKuna watu wanajigeuza Miungu watu kwenye hizi wilaya za pembezoni upuuzi wa ajabu mno unaendelea
Wanaogopa kufukuzwa , ukifanya mobilization ya hvyo jiandae kusalitiwa ,Poleni sana wengine (wilaya tofauti)mbona tumelipwa Cha kufanya mwakani ni unajivunja kama nusu yenu pasi na kwenda watatia akili msiogope hamtakufa
Dawa ndio hiyo maana Bora mtu ubaki ulishe mbuzi wako kuliko kufanya kazi na Hawa bataPoleni sana wengine (wilaya tofauti)mbona tumelipwa Cha kufanya mwakani ni unajivunja kama nusu yenu pasi na kwenda watatia akili msiogope hamtakufa
Muache atetee kilicho chake. Ni haki yakeMbona mtihani haujaisha, ndio unaendelea, kuwa mpole mwalimu, mshahara umetoka wiki ilopita tu Leo umeanza kulalamika. Nyie ndio mnadhalilisha ualimu.
Zinaonekana kwenye mfumo wa uzazi au?Sio kila mtu lazma ahusike kama unavyotaka wewe. Baadhi ya walimu hapo hapo kwimba washalipwa wana zaidi ya wiki, kuna tatizo la kimfumo, hela zinaonekana kwenye mfumo ila hazitoki. Kuwa mpole Mzee wa Mwandu, wiki ijayo utawekewa
Uncivilised! Nyinyi na wezanko ndio mnaacha CCM iendeleze ujinga wake kwa kuwa inaamini kuna majitu ya hovyo yanayojipendekeza yatakuja kutetea yaonekane yanaipenda serikali, Kuna muda ficheni ujinga wenu, hawa watu wanadai hela za kazi zao sasa hayo ya mshahara yanatoka wapi nyinyi majnun? Halafu huo ulikuwa mtihani wa STD 4 sio Form 2 wewe kada wahed.Mbona mtihani haujaisha, ndio unaendelea, kuwa mpole mwalimu, mshahara umetoka wiki ilopita tu Leo umeanza kulalamika. Nyie ndio mnadhalilisha ualimu.
Wakuu shalom!!husikeni na mada tajwa hapo juu Swala ni kwamba idara hii kwa makusudi kabisa imeamua kukausha na malipo ya baadhi ya walimu waliohusika katika kazi maalum ijulikanayo kitaalam kama SFNE ambapo kuanzia semina walimu walijihudumia wenyewe kwenda kwenye kazi kwa pesa yao huku mkidanganya kwamba pesa mtaweka kwa account matokeo yake mnaanza usanii kwamba watu wameleta taarifa zisizo sahihi na upuuzi mwingine ambao kimsingi Hamna hoja ya maana tafadhali sana msitake kumchonganisha mkurugenzi na watumishi wake kwa huo ujuaji wenu hasa wewe mama unaehusika na malipo bahati nzuri sikufahamu jina haiwezekani mtu afanye kazi ya kitaifa halafu malipo yake inakua ni kashfa huyo mama ana majibu ya hovyo mno tunaomba mlipe fedha za walimu waliosimamia mitihani mkiendelea na huu upuuzi wenu tutapaza sauti kwa waziri mwenye dhamana kwa kuwataja wahusika wote mnaotuzungusha tukifika hapo ofisini kwenu tafadhali lipeni pesa za walimu kuweni japo na hofu ya Mungu ndio nyie mnasababisha walimu tunaonekana masikini mitaani huku
Matackle yake popote alipo kadaUncivilised! Nyinyi na wezanko ndio mnaacha CCM iendeleze ujinga wake kwa kukwa inaamini kuna majitu ya hovyo yanayojipendekeza yatakuja kutetea yaonekane yanaipenda serikali, Kuna muda ficheni ujinga wenu, hawa watu wanadai hela za kazi zao sasa hayo ya mshahara yanatoka wapi nyinyi majnun? Halafu huo ulikuwa mtihani wa STD 4 sio Form 2 wewe kada wahed.
Nawe jaribu kuficha uchi wa akili yako. Ni haki yake na anadai haki yake regardless ya mshahara. Wanatakiwa walipwe pesa zao. Dhulumati sio nzuri.Mbona mtihani haujaisha, ndio unaendelea, kuwa mpole mwalimu, mshahara umetoka wiki ilopita tu Leo umeanza kulalamika. Nyie ndio mnadhalilisha ualimu.