Idadi ya watanzania wenye msongo wa mawazo kuongezeka

Na mishahara haijapanda mda mrefu,kwa kweli depression lazima ihusike apa
 
idadi ya watz wenye msongo wa mawazo(depression) itafikia asilimia 80% kufika mwaka 2020,wengi wao wakiwa ni watumishi wa serikali.Sababu kuu zinazochangia/zitakazochangia ongezeko hill ni;
1.Ugumu wa maisha/ukosefu wa kipato
2.Magonjwa(kisukari ,shinikizo LA damu ,cancer)
3.Ukosefu wa ajira

KIKUBWA ZAIDI NI UKOSEFU WA KUPIGA DILI TUMEZOEA KUISHI KWA KUIBA AMA KUIDANGANYA SERIKALI PESA TUMEJENGA ZA HARAMU SASA UNAPATA MSHAHARA WAKO KAMILI UNASHINDWA KUMUDU MAISHA UNAMLAUMU MAKUFULI
 
Back
Top Bottom