ICELAND Nchi ndogo sana duniani yafuzu 16 bora euro 2016

Point of corection: hazikua nchi 32 bali ni nchi 24 kwa makundi sita, timu nne zinaingia kama best loser katika hatua ya 16 bora, kitu kingine usichokijua iceland haikugombania kufuzu, waliingiza kama ofa kutimiza idadi ya hizo timu 24
. Wewe ni zaidi ya Muro wa Yanga.
 
Tanzania sijui tumelaaniwa kwenye michezo
Hatupati furaha kabisa katika michezo ya nchi hii
Juzi kati hapa serikali yetu ilipiga marufuku michezo ya umiseta kwa madai shule hazina madawati
So michezo isichezwe bali hizo pesa zilizoandaliwa kwa ajili ya umiseta zikanunue madawati

Iceland ni nchi ndogo sana ina watu 330, 000 tu
Lakini imemshangaza kila mtu kwa kufuzu 16 bora ya euro 2016

Halikutegemewa kufanya haya lakini mipango yao kama nchi imewafikisha hapo
Kwanza walifuzu
Pili wamefika 16 bora kati ya nchi 32 zilizokuwpo
mkuu naomba nikusahihishe,timu jumla zilikuwa 24
 
kwan uwanjani wanacheza wachezaji wangapi???? kama nchi kubwa inachezesha idadi kwabwa ya wachezaji hapo sawa

Probability mkuu. likelihood ya kupata wachezaji 11 wazuri ni kubwa kulingana na pool husika (population) inavyokuwa kubwa.
 
Point of corection: hazikua nchi 32 bali ni nchi 24 kwa makundi sita, timu nne zinaingia kama best loser katika hatua ya 16 bora, kitu kingine usichokijua iceland haikugombania kufuzu, waliingiza kama ofa kutimiza idadi ya hizo timu 24
Kigezo gani kilitumika kuwapa ofa Iceland?

Back
Top Bottom