habari ya hapa
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 12,791
- 8,747
huyu ndie nabii Imbangulu aliyetabiri kuzaliwa kwa MwalimuInaendelea ama?
mpya kwako mkuuStory mpya
Mambo mazito haya, ulikuwapo wakati hayo yanafanyika? Kuna ushahidi gani dhahiri wa kuthibitisha hayo uyasemayo? Umesema alikua anapanda milimani, milima ipi? Anatofauti gani na Mwana malundi? Kwanini hakuwahi kupata unaarufu? Maswali ni mengi..
asante mkuu kwa kumjua huyu nabii wetu, utanisaidia maana kuna watu hapo juu washaanza, wakimaanisha haiwezekani nabii kuwa mswahiliRekebisha title mkuu. Jina limekosa silabi mojawapo. Unazo pia habari za Ng'wanamalundi? Hatukuwa na maandishi na historia za mashujaa na manabii wetu zimepotea. Matokeo yake tunaonekana kama vile hatukuwa na cho chote. Asante sana !
All of the above mkuuunashangaa?
umefurahishwa?
au
hutaki?
Bangi imekolea, jamaa ameamua tu kumrusha babu yake. Eti Nabii. nabii my assssInaendelea ama?
Ushahidi plsHeshima kwenu Mabibi na Mabwana, Poleni na heka heka za maisha
Km kichwa cha habari kinavyosomeka, Imbangulu ni Nabii mtenda miujiza km ilivyokuwa kwa manabii wengine enzi hizo, inasemekana katk karine ya 19, Nabii huyu aitwaye Imbangulu alipata kutabiri kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mpigania uhuru mashuhuri wa Afrika aliyeleta changamoto kubwa barani Afrika na duniani kwa ujumla.
Kama ilivyokuwa kwa manabii wengine ambao dini hudai habari za kuzaliwa kwao zilitabiriwa na manabii au nabii, basi hata kuzaliwa kwa Mwokozi wa Afrika na Tanganyika yaani Mwalimu kulitabiriwa na nabii wa Mungu aitwaye Ibambangulu, Nabii Ibambangulu inasemekana alikuwa Nabii mtenda miujiza, miujiza mingine aliyoitenda Ibambangulu inasemekana hata Yesu hakuwahi kuitenda, Ibambangulu alikuwa msukuma, alikuwa anaishi Magu ktk mkoa wa Mwanza.
Inasemekana Nabii huyu alikuwa na desturi ya kupanda mlimani na kutazama mashariki wakati anapotabiri kama alivyokuwa akifanya Yesu na manabii wengine wa kidini, hatimaye ilipofika mwaka 1922, Butiama, Mkoani Mara, Mwalimu alipata kuzaliwa.
Km una lolote kuhusu nabii huyu Imbangulu Msukuma wa Magu mkoani Mwanza Karibu
mkuu nilibahatika kupata pia habari za Ng'wanamalundi,Rekebisha title mkuu. Jina limekosa silabi mojawapo. Unazo pia habari za Ng'wanamalundi? Hatukuwa na maandishi na historia za mashujaa na manabii wetu zimepotea. Matokeo yake tunaonekana kama vile hatukuwa na cho chote. Asante sana !