Huyu waziri wa Saudi Arabia alipokuja Tanzania, alimuomba nini Rais Magufuli?

Uko vizuri Mkuu.
 
Senegal imekata uhusiano na Qatar asubuhi. Imefika mchana Saudi Arabia imedeposit 1 Billion dollars kwenye treasury ya Senegal

je na sisi tukipewa hiyo proposal tukatae au tukubali?
Tukubali wakiweka pesa inakula kwao
 
Senegal imekata uhusiano na Qatar asubuhi. Imefika mchana Saudi Arabia imedeposit 1 Billion dollars kwenye treasury ya Senegal

je na sisi tukipewa hiyo proposal tukatae au tukubali?
That is a sin and crime...kuuza utu kwa hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…