mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,480
- 6,833
Rais wa Somalia Farmajo jana kaahidiwa dola bilioni 4 za development na tayari kuna downpayment ya $1 billion itatumwa weekend hii.
Juzi senegal asubuhi wamekata uhusiano na Qatar asubuhi na mchana $1billion zimeingizwa kwenye treasury huko Dakar.
Evidence:
Sasa nashauri "OUR MAN IN RIYADH" (balozi wetu) akiitwa Al Yammamah Palace kupewa orders za kuleta kwa bosi wake Tanzania ikate uhusiano na Qatar bas na yeye arudishe diplomatic Cable kuwa hawa waarabu pesa ipo na wako desperate ya kutaka validity. Na kwa maoni yake na sisi turudishe na shopping list yetu.
Ambayo among other things tunataka na pesa. Mimi nasema kuwa Tu demand $5 billion. Kwa mtakaoona kuwa hiyo ni too much jiulizeni Kenya watademand kiasi gani from hiyo ATM? Ukishuka then potelea mbali walau tunaweza kuwa na $3 billion za bure
Msisahau mfalme wa Qatar alikuwa Kenya mwezi mmoja uliopita
I hope watu wetu watakuwa tough kwenye negotiations na hawa wa SUUUDIYA
Uko vizuri Mkuu.