RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,299
- 121,738
Toyota Coaster 6 si chini ya TZS 240M....sasa kama kwa askari wa kawaida tu anaeshinda barabarani ni kitu cha kawaida basi msiwe wanafiki kumsema Masamaki mwenye nyumba 78 maanake anamzidi kipato huyo askari mara zaidi ya kumi.Kumchunguza huyo mwenye coaster 6? Mbona yule afande aliyekuwa boss wa kanda maalumu ana kighorofa? Kama huyo traffic ni smart ataweza kujieleza na ukaridhika wapi kapata mali hizo.
Wapo maafande wana miradi kibao ya halali: vinu vya kusaga nafaka, nyumba za kulala wageni etc....