TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 7,793
- 15,277
ANAANDIKA DADA CHEMI CHE MPONDA AKIWA MAREKANI...
"Hawa ni wazazi wangu wakiwa na marehemu Bibi Titi Mohamed, takriban mwaka 1965.
Bibi Titi alikuwa miongoni mwa wanawake mashuhuri katika Harakati za Uhuru wa Tanganyika.
"Kuna picha inayozunguka mitandaoni ambayo i
baba yangu amekatwa na kudaiwa kuwa ni picha ya aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania, Anna Makinda!
"Ukweli ni kwamba hao kutoka kushoto kwenda kulia ni mama yangu Bi. Rita Che-Mponda, katikati ni Bibi Titi Mohamed, na kushoto ni baba yangu Dkt. Aleck Che-Mponda, ambaye wakati huo alikuwa mtangazaji wa Voice of America."
Case closed!
Kwa hisani ya ©makinikiayahabari