Huyu pia nimemshindwa,anapigiwa simu na wanaume sana

Wanaume wa Dar na wanawake lenu moja.
 
Itakuwa kwangu anafuata dushe basi
 
we mwenyewe unaonekana paka tu. demu wa FB ndo unategemea atulie. jitathmini kwanza wewe mwenyewe. mzinzi atao mzinzi mwenzie tu.
 
sio tabia nzuri kumshauri mtu kuoa siku hizi!
 
Mazingira utakayo mpata mpenzi wako ndivyo mapenzi yeni yatakavyo kuwa mbeleni, wewe umempata mwanamke kwenye mambo yakuchat chat unategemea nini? Umempata mwanamke club ya pombe unategemea nini? Umepata mwanamke kwa wauza miili unatarajia nini hapo ?
 
Well said
 
Sasa mkuu kama umempata kupitia facebook unatarajia nini??? Hayo mazingira uliyompatia ndo maisha yake halisi...Atakua anachati na wengine kama akivyokua anachati na ww...
 

Kweli Wanaume Tumebaki Wachache
 
Kimbia saana. Mwanamke ambaye hawi proud kuwa na wewe. Huyo ni mchepuko tu hata kama mnaishi pamoja. Angekuwa anakupenda kweli asingekuwa anadanganya tena mbele yako ukiwa unasikia.
Mazingira mliyo kutana yana mchango mkubwa ktk hatma ya mahusiano yenu. Kazi ni kwako
 
Si umetaka ambaye haombi hela, acha wenzako wakusaidie kumpa hela, wewe fokasi kwenye kibumbu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…