Huyu ndiye Ruge ninayemfahamu!

Kweli inawekana ruge anafanya hizo deal za ngada ila haiwezekani kila msanii anaye tofautiana nae kambebesha ndaga. Wengine kama sugu walisha sema kuna wanapunjwa maslahi yao. Kukamata wauza sio kutaja majina yao kwenye media waende kwa punda walikfungwa nje kama honkkong na China watawatajia maboss wao. Pia Tanzania ina mikoa 30 mbona wakuu wengine wanafanyakazi zao bila kutafuta kick? Mwezi uliopita kasifiwa mkuu wa mkoa wa simiyu kwa kuendeleza kilimo mbona hanaita media? Huyu kiongozi wa mkoa pendwa wa dsm afanye kazi zake sio kupenda sifa
 
Kama 'yule bwana' na Ruge ni marafiki kwa nini Ruge hakumuita chemba wakamalizana kirafiki badala ya kumuexpose kwenye jamii?usidhan tunaakili za nyumbu !tunajua kilichokuwepo nyuma ya pazia!Ruge anatumiwa!ametumika!

Hata wewe tukikuuliza vyeti huchelewi kutuambia vita ya madawa ya kulevya haitaacha mtu hahah Chawa wa bashite mpo wengi eeh au wewe mdogo wake Lemutuz
 
Ruge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.

Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Kwa hyo hakuvamiwa?, AMA alivamiwa kwa issue ya dawa badala ya Cd ya kuchonga?, mbona unahoji kama BASHITE Vileee...,akili ya kuvuka barabara Tu inatosha kulijua Hilo vema. Sasa wewe hata hyo hauna?.
 
Kwa hyo hakuvamiwa?, AMA alivamiwa kwa issue ya dawa badala ya Cd ya kuchonga?, mbona unahoji kama BASHITE Vileee...,akili ya kuvuka barabara Tu inatosha kulijua Hilo vema. Sasa wewe hata hyo hauna?.

Uponjo aliacha shule baada ya kufeli kidato cha pili unategemea atatoa maoni gani
 
Ruge hakuna kitu hapo tapeli sana huyo ila amejificha ktk media na kujifanya ni msaada sana kwa vijana ktk fursa mbalimbali.

Nakumbuka sana alivyomnyonya Saida Karoli kwa kumfanyia promotion kubwa sana toka airport na Ruge aliingiza pesa kibao sana pale Watoto wa mjini walipomfungua macho na masikio Saida akaachana na Ruge ingawa Ruge nakupenda.

Kuhusu Yeye Ruge na Makonda ni marafiki sana na wewe mtoa mada unajifanya kumuita Makonda Bwana yule huo ni ujinga na utoto.
 
Ruge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.

Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Wewe na Bashite ndio wanafiki na walafi,wakubwa yeye Bashite kama alikuwa na uhakika hakuvamia clouds,kwa nini aliikimbia kamati ya Nape na jeee alikuwa wapi kuuweka ukweli hadharani ili watu wajue ukweli,wewe MTU anamkana hadi babake jina la baba yake unadhani ni mzima huyo,huyu tayari analaana ya babake,huwezi ukamkana babako sababu ya dunia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…