Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 39,981
- 96,236
"Yule bwana" ambae ni mtoto wa "bwana yule".......Na bwana yule anamlinda yule bwana
"Yule bwana" ambae ni mtoto wa "bwana yule".......Na bwana yule anamlinda yule bwana
Hata nawe umeongea vizuri sana mkuu, have my respect brother.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni! Hata kama kwa ubinadamu wetu tutatashindwa kusimama na huyu ndugu hususan kwa kipindi hiki yupo Mungu aliye hai atamtetea.
Ndio, Hakuna binadamu asiye na mapungufu, Ruge kama binadamu inawezekana ana mapungufu yake lakini katika hili suala la Clouds Vs "Yule Bwana" kwa binadamu mwenye akili za kawaida tu utakubaliana nami kwamba Ruge ameonyesha hekima na busara ya kiasi cha juu sana.
Alichoamua Kukisimamia Ruge ni kusema UKWELI, Ukweli kwamba "Yule Bwana" alikosea, pamoja na kwamba walikuwa marafiki lakini Ruge aliamua kusimama katika misingi ya ukweli, misingi ya kikazi, Kwamba "Yule bwana" alikosea. Kuna vitu wala havihitaji degree kuvielewa, yaani kule tu kwenda pale tena usiku tena na silaha bila mhusika kujua, na bila warrant ni kosa kisheria.
Leo baada ya kumsikia Ruge akijibu shutuma za "Yule Bwana" nimejisikia amani sana, Maana badalaa ya kujibu kwa jaziba, kwa matusi, kwa mhemko, Ruge kajishusha kaongea kwa ustaarabu kama binadamu, Pamoja na kuambiwa hana akili, anaimba ngonjera, na maneno mengine mengi ya kuudhi lakini jamaa kajibu ki proffesional na kwa unyenyekevu. U have my respect brother.
Mi nafikiri kama taifa kama tunakuwa na viongozi wa namna hii, ambao wanashindwa kuwa na akiba ya maneno na kuongea tu kama vijana wa mtaani bila kuangalia kuwa kuna watu wengi sana tunawaangalia ili kujifunza kwao, tutakuwa tunaelekea pabaya sana.
Bwana yule ana mtoto mzigo usiobebeka na mwingine isipokuwa yeye tu ndiye wa kumbeba yule bwana"Yule bwana" ambae ni mtoto wa "bwana yule".......
"your worst enemy could be your best friend,and your best friend your worst enemy" Bob Marley and the wailers.The best friend always becomes the worst enemy.
Sisi yetu macho.
DAB si mlezi wa WCB imekuaje Almasi kaenda team pinzani?Hahahahahaha kwanini alitokea mlango wa Chooni alipoitwa na ile tume??Nimeamini kweli kabisa alitaka kuwaweka wale vijana ndani kwa kuwasingizia madawa ya kulevya. Hakika penye uongo ukweli hujitenga.
Haya na yule rafiki anayeitwa Almasi kwa kiswahili ameenda kumpongeza Ruge na wameona umuhimu wa Ruge na akasema yupo pamoja na Ruge sasa sijui Almasi atapona kweli!
Halafu Rafiki wa Mzee wa kuzungusha ndiyo drug Lords wanaompa tiketi na pesa za kuchezea.
DAB si mlezi wa WCB imekuaje Almasi kaenda team pinzani?Hahahahahaha kwanini alitokea mlango wa Chooni alipoitwa na ile tume??Nimeamini kweli kabisa alitaka kuwaweka wale vijana ndani kwa kuwasingizia madawa ya kulevya. Hakika penye uongo ukweli hujitenga.
Haya na yule rafiki anayeitwa Almasi kwa kiswahili ameenda kumpongeza Ruge na wameona umuhimu wa Ruge na akasema yupo pamoja na Ruge sasa sijui Almasi atapona kweli!
Halafu Rafiki wa Mzee wa kuzungusha ndiyo drug Lords wanaompa tiketi na pesa za kuchezea.
Kijana huna papara! Kifupi umetoa kahistoria ka mapungufu kanavyomtafuna Ruge taratiiibu, siku ukweli na mkweli atajulikana.Wewe haujui chochote,
mie naanzia hapa... unamjua Saida Karoli?
Ruge kwa kushirikiana na Felician Mutta wamemtapeli mpaka leo kawa mkaanga chips, labda akapige shoo kuzimu lakini hapa duniani pesa yote itakayoingizwa ni ya kwao. jiulize why Ruge.
Unamjua Joseph Mbilinyi (Sugu) Huyu aliingia mgogoro wa wazi wazi na Ruge na kundi la Vinega, jiulize why Ruge
Unamjua Lady Jay Dee mpaka kesho hutoisikia nyimbo yake ikipigwa na vituo vya clouds? jiulize why Ruge
Unamjua Albert Mangwair, Huyu alitumwa naniii na ruge south......... ......... after that clouds ikagharamia na msiba na kumaliza mambo kimyakimya
Wasanii kama akina Juma Nature, AY, n.k n.k namaanisha wakongwe wananjua kwa mikwala yake ukienda kinyume na matakwa yake ni lazima akupoteze enzi hizo za akina mabaga fresh, solid family n.kn.k
Pamoja nayo pia Ana mazuri yake.
Ukitaka kumchambua mtu lete historia yake ndio utapata picha yake halisi yukoje,
Hata hivyo jamaa mnafiki, na anatumiwa
Tena zigo lile aliloimba AYYule bwana hawezi kumkingia kifua huyu bwana,lazima kuna zigo linawaunganisha
Kama ulipitwa na taarifa ni kwamba Ruge alienda kutoa taarifa Oysterbay Police asubuhi baada ya siku ya tukio. Lakini kesi ya nyani hakimu Tumbiri. Najua ulipitwa tu na hii taarifa..au unafuata mkondo bila kujua ukweli. Anyway yeye yupo upande wa mpini...yanamwisho haya.Ruge ni mnafiki Mkuu, alipokubali kutumikia magwiji wa Dawa za kulevya kwa kusingizia kituo chake kimevamiwa.
Kushindwa kuthibitsha tukio hilo, au kufungua jalada polisi
Mh ana power kwanini asitoe amri Ruge akaripoti kituoni kwa kuudanganya uma? like zile listAcheni UNAFIKI ruge nae ana kesi ya kujibu kwa nini aliudanganya umma na kuongea uongo juu ya Mheshimiwa,kulikuwa hakuna ukweli wowote alioongea aje aseme ukweli wote hapa.
Ila tukubali,yule bwana anayebebwa na bwana yule ana mzigo kuliko mama kekuu.Yule bwana ana nguvu na kifua kumbeba yule bwana aliye mzigo mzito