Huyu ndiye Muigizaji Brian Deacon, aliyeigiza kama Yesu na anachokifanya kwa sasa katika Maisha

Hizi imani zinatuchanganya sana hasa christian,kila siku ni maagano mapya...Yesu alikuwa ni mtu mweusi, ila kwa hila zao na ghiriba zao wakafuta ile kumbukumbu na wakaandika alikuwa ni mzungu..

Hatujui mohammady (s.a.w)alikuwa na rangi gani..sijui alikuwa mwarabu kama wanavyosema,au alikuwa mweusi mwenye asili ya kisomali bado kizungumkuti...maana kwa akili nyingi alizokuwa nazo mtume unapata ukakasi kama alikuwa ni mwarabu kweli.

Ina maana katika historia ya dini hapakuwahi kuwa na mtume mweusi?!

Hii dunia bwana,wacha tumwabudu tu mungu ambaye ana sifa ya uumbaji na kuturejesha kwake basi...haya mengine yanachanganya sana ukiyafikiria..
 
Hakuna kitu kibaya kama ukafiri na wengine ndio wamepamba sebule zao kwa mapicha yake Eti ndio mungu wao! !!!! Mungu wazindue viumbe wako.
 
Hizi ndo akili zakitanzania.Kwa akili hizi tutasubiri sana kuendelea maana kama watu wanajadili filam yamiaka 30 iliyopita wakat sisi ata maigizo bado hatuwezi basi safar bado ni ndefu kujikomboa.
 
Hizi ndo akili zakitanzania.Kwa akili hizi tutasubiri sana kuendelea maana kama watu wanajadili filam yamiaka 30 iliyopita wakat sisi ata maigizo bado hatuwezi basi safar bado ni ndefu kujikomboa.
Tanzania ni ngumu kuendelea kwa vile ujamaa umetulaani sana.Ni ngumu sana kwa watanzania kuwa na maadili ya kutosha kupima issue vyema. Tanzania ni nchi yenye wanaiki wengi sana, at any time kuna mtu yupo tayari kuongea uongo akidhani anamkomoa fulani,au kushangilia uovu fulani akidhani utamfanya yeye awe yupo ktk njia sahihi. Ndio maana ata ujinga ktk hii serikali una watu leo wanapinga kesho wanashangilia. Km walivyozoea kuchagua dhambi ndivyo wanachagua cha kutumia akili.
 
Hakuna kitu kibaya kama ukafiri na wengine ndio wamepamba sebule zao kwa mapicha yake Eti ndio mungu wao! !!!! Mungu wazindue viumbe wako.
Unadhani hata wewe unaujua ili ujue ubaya wake. Km tayari mmojawapo ya wachagua dhambi.Ni vipi sasa utakuwa na haki ya kusema unaujua ukafiri ili ujue ubaya wake?
 
walichagua mtu ambaye anakaribia munekano km wa picture iliyopatikana ktk sanda iliyotumika kumfunika Yesu.Ilivyopigwa picture kwa carbon 14,na X-rays ilipata picture kwa jinsi damu ilivyosambaa na kuganda ktk hiyo sanda.
 
Hehehe hii kali. Sanda ilikutwa ikiwa kama shuka tu kitandani mtu akiamka. Sasa hiyo shape ya uso ilitoka wapi
 
Wakristo wengi wametundika picha za huyu Jamaa Majumbani kwao wakidhani Yesu. Na bila aibu akitaka kutoka anasema nilinde yesu huku anatazama picha ya mzungu huyu. Kingine hata makanisani sanamu za huyu jamaa ndio zimewekwa mbele ya kanisa na watu wanatazama sanamu hilo na kufanya ibada wakidhani ni Yesu. Poleni sana ndugu zangu
 
Hehehe hii kali. Sanda ilikutwa ikiwa kama shuka tu kitandani mtu akiamka. Sasa hiyo shape ya uso ilitoka wapi
Ulishwahi jifunza kifo cha Yesu na makovu yake yalikuwa wapi? Kwa taarifa yako, Atheist walipigana mahakamani kupinga uwepo wa Yesu ktk hii dunia, kupinga Kifo chake. Ila walishindwa kihistoria na kisayansi. Pengine ungepoteza muda kujifunza properties za damu ktk material. Achilia mbali damu nikupata juice wewe na kukufunika na nguo nyeupe kuzunguka mwili wako, niliitoa na kuikausha au kuiosha na chemical kuna vitu viungo vitaonekana km wewe ,

Tatizo unadhani ukitafuta kosa au upotoshaji kwa mpinzani wako kutakufanya uwe sahihi ktk njia zako.Ndio kitu msichokijua hata ktk ibada zenu.Mnadhani mtaenda mbele ya Mungu ktk mob,ndio maana mnachapana viboko,mnafanya vurugu na kulazimisha wengine kufuata njia zenu.Mkidhani hata mbele ya Mung mtashida au mpo sahihi. The truth ni no.Mnafanya dhambia kupotosha watu.

Kwa taaifa yako waandishi au watoa nakala au watafsiri wa vitabu leo hii wanakimbizana kupata the Best Transalation au the best representation. hata Quran za kwanza maamuzi yalipita kutafuta waliokairiri vyema ndio copy yao ikachukuliwa na wengine wakaambiwa wachome copy zao ili kuondoa mkanganyiko.Sidhani km mnaambiw ahuo ukweli?Ili mjifunze ktk hilo zoezi la kuchoma copy walizoamini kuwa sio sahihi, ni vipimo au weledi gani uliowasaidia kujua kilicho sahihi ni walichoacha na si walichokichoma?
 
Wakristo wengi wametundika picha za huyu Jamaa Majumbani kwao wakidhani Yesu. Na bila aibu akitaka kutoka anasema nilinde yesu huku anatazama picha ya mzungu huyu. Kingine hata makanisani sanamu za huyu jamaa ndio zimewekwa mbele ya kanisa na watu wanatazama sanamu hilo na kufanya ibada wakidhani ni Yesu. Poleni sana ndugu zangu
Pengine unachosahau ni kwamba, hata vitabu km Quran, Biblia(Baadhi ya vitabu ndani), pia navyo unaweza dhani kwamba unasoma Kauli ya Mungu kama inavyotoka mdomoni kwake ila ukweli sio. Kitabu na maandishi ni aina moja ya kutunza na kusafirisha kumbukumbu, ila video, acting, webpage,voice pia ni options nyingine. Tatizo ni watu ni wale wale wachagua dhambi wana ganzi ya akili. Hawapo composed ndio maana hawajui kwanini dunia yao haiopo sawa.

Hivyo vitabu vyako pia unasoma vitu vingine si direct kutoka kwa Mungu,ila ujumbe wa Mungu km mwandishi alivyouwakilisha. Inahitaji kuijua kweli ili uweze ishi imani na mafundisho ya Mungu wa kweli. Hao wakristu wanaoichukulia hiyo picture km ibada sio tofauti na waislam wanaoiweka picture ya yule farasi mwenye sura kichwa cha mwanamke ndani, au anayeamini Quran ni ya kushika km ibada.Nayo imechapishwa ktk nyumba na watu wasio hata na dini,wengine walikuwa wanafanya mammbo ya ajabu ktk hizo printing house.
 
ILE PICHA YA KICHWA CHA MWANAMKE NA FARASI SI PICHA YA UKWELI ILE ILILETWA KWAIJLI YA KUWA-CONFUSE WAISLAMU ILI WADHANI KWELI,LA HASHA!NDUGU ILE ISSUE ISHAGUNDULIKA NI PICHA YA MIONGONI MWA MIUNGU WA KIHINDI UKO INDIA SO WAISLAMU KAMWE HAWAABUDU PICHA.
 
Yupo "Yesu mwingine" anaitwa Meil Gibson alicheza picha ya The Passion of Jesus Christ!

Meil Gibson anafanana sana na Yesu wa Nazareti. Mwaka jana alikuja Bongo na kila alipokwenda alifuatwa na makundi ya makubwa ya watu wakimuita na kumfananisha na Yesu wa Nazareti.

Baada ya kumaliza kucheza The Passion of Jesus Christ, Meil Gibson aliokoka na sasa anasambaza neno la Mungu.

Wakati wanacheza picha ya the Passion of Jesus Christ huko Israel/Palestine, kuna wakati waigizaji waligoma. Basi Director wa movie akamwambia Meil Gibson, Wewe Yesu hebu kaongee na wafuasi wako wamegoma. "Yesu" baada ya kuongea na wafuasi wake wakaacha mgomo na kuendelea ku act hiyo picha.

We jamaa ni Muongo
 
Back
Top Bottom