Huyu ndio Faru Fausta wa Ngorongoro,atimiza miaka 54,aishi chini ya ulinzi wa kijeshi masaa 24

Ngarama lazima zizingatie anachoingiza na anachotumia!
Ukitumia tu kama ufahari mwisho wa siku ni kutumbuana.
 
View attachment 465168

========================================
Wakuu huyu ndio Faru Fausta ambaye ni kipofu,usahihi wa habari hii umeletwa na na mkuu cDNA na Sakasaka Mao
Jf kisima cha maarifa

barafu


FARU FAUSTA WA NGORONGORO ATIMIZA MIAKA 54
Ndio faru mzee duniani,sasa haoni
Ngorongoro yampa ulinzi wa kijeshi

FARU Fausta ndio anayesadikiwa kuwa na umri mkubwa kuliko Faru wote duniani,mwaka huu amefikisha umri wa miaka 54.

Faru Fausta yupo katika mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro,lakini kutokana na uzee wake huo,sasa anakabiliwa na tatizo la macho la kutoona.

Kufuatia hatua hiyo,uongozi wa Ngorongoro sasa umemuweka katika makazi maalum ndani ya hifadhi hiyo.

Hatua ya mamlaka kuchukua hatua ya kumpa ulinzi maalum Faru Fausta inahofia kushambuliwa na wanyama wengine wakali na hususani fisi na Simba.

Hivi sasa gharama inayotumika kumlinda Faru Fausta ni kubwa,hivyo uongozi wa Mamlaka umeishauri wizara kuchukua hatua juu ya Faru Fausta.
Yaani my sweet Faru Fausta mnataka wizara imuue? Let her live happy life, gharama za kumtunza ni zipi? Je anataka chips nyama choma, burger na juice?
Hebu tuondoleeni porojo
 
Inawezekana maana Fausta mwenyewe kipofu
duh!
b7a5ec49bb71152b98674247191054cd.jpg
027cf1f5230b6a37d50abf81e2dc45d6.jpg
na ni mgumba
 
Back
Top Bottom