PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,782
- 19,328
Wewe kama hukubaliani utakuwa ni mbaguzi.
Kama sheria inamruhusu na kama hukubaliani hilo ni tatizo lako binafsi si letu.
Mada nnaielewa sana kuliko unavyofikiria.
Laiti ingelikuwa mama'ke Bob ni mzungu na huyo baba'ke ni Mwafrika yasingekuwepo haya.
Halafu mtu juu huko anasema hajamuoa wakati huo huo anaweka jina la mama lenye surname ya Baba na mtoto surname hiyo hiyo.
Kuna mchepuko anatumia surname ya bwana'ke?
Mama wa Bob hajawahi kuitwa Marley, jina lake halisi ni Cedella Booker. Baada ya Bob kuzaliwa hawakuwa na uhusiano tena na mama akamlea mwanae peke yake. Hizo porojo zako nyingine haziniingii akilini, maana iwe mzungu, mwafrika au muasia ukiwa na miaka 30 huwezi kuwa confortable na mpezi wa miaka 60, sembuse kisichana cha miaka 17 au 18? Fcuk the stupid laws. Hizo ndizo ndizo zinazofanya vitoto huko Yemen na nchi nyingine za kiarabu kukosa uhuru wa kuishi maisha yao.