Huyu Mwijaku anachokifanya kwa Gen Z ni upotoshaji. Maisha si mepesi namna hii

We ndgu una lako jambo ama lah unamuonea wivu jamaa kwenda US na kujitapa.
Sijaona kibaya alichofanya huyo mtu, yeye kufurahia kupiga picha na polisi wa Marekani nayo ni nongwa, ninyi watu namna gani..
It's an All opinion Thread..
😂
 
We ndgu una lako jambo ama lah unamuonea wivu jamaa kwenda US na kujitapa.
Sijaona kibaya alichofanya huyo mtu, yeye kufurahia kupiga picha na polisi wa Marekani nayo ni nongwa, ninyi watu namna gani..
Yess.. kabisaa..
Nina wivu kweli..
Yani thats it wala sivungi
 
Apige nae picha
images.jpeg
 
View attachment 3087076
Kuna haja

That Urgent need to have his videos banned in the country.

Haiwezekani America.. everyone's dream aifanye kama huko MburAhati tu.

Kama asemavyo yeye. Hii si sawa.
Kwa werevu tumeshajua kwamba lengo lako ni kumtengenezea attention ili watu wamfuatilie, hivyo mdivyo mnavyo tengeneza attention mnajifanya kuponda kumbe mnatafuta viewers
 
Back
Top Bottom