Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 9,713
- 6,844
Habari bila picha haina mvuto.
Alishafanyiwa umafia na jamaa mmoja hatokaa hasahau maisha yake yote, alikuwa na mahusiano na mwanaume ambae ana urafiki na mwanaume mwingine ambae pia ni bwana wake alipelekwa bar akanyweshwa K vant za kutosha bila kuchanganywa chochote kwa lazima na kichapo juu mida ya saa nne usiku wakampakia kwenye gari na kuondoka nae kilichoendelea hatujakijua mpaka waleo.
Sizani kama kina T bway na wengine wenye damu zinazochemka pale EATV wamemlazia damu hajielewi anajifanya mjuaji sanaa mwisho wa huo ujuaji wake anajikuta anajianika, kama ulibahatika kusikiliza interview yao kwenye kipindi chao cha radio na polepole ungethibitisha kabisa kuwa hayuko sawa kisaikolojia.Kwa lugha nyepesi na nyoofu ni kwamba Jamaa walim KONKI KONKI Mkuu au? Nakubaliana nawe na anaonekana anatatizo kubwa la Kisaikolojia japo Yeye hajajigundua. Na huwa namsikia sana akisema kuwa Yeye kamwe hatowahi na haitotokea akaja kuwa na Mahusiano na Mwanaume ' Choka Mbaya / Masikini ' kama Mimi GENTAMYCINE na wenzangu wengine kwani alikiri mwenyewe kuwa kama kuna Kitu anachokipenda hapa duniani ni Pesa / Hela na nakumbuka Watangazaji wenzake walimshangaa mno na wala hakujali.
Sizani kama kina T bway na wengine wenye damu zinazochemka pale EATV wamemlazia damu hajielewi anajifanya mjuaji sanaa mwisho wa huo ujuaji wake anajikuta anajianika, kama ulibahatika kusikiliza interview yao kwenye kipindi chao cha radio na polepole ungethibitisha kabisa kuwa hayuko sawa kisaikolojia.
.
Alivyo mnafiki eti "najikubali na chunusi zangu" moyoni anateseka sana yule ana maumivu makali kama kubinywa korodani nani anapenda chunusi kwa jinsi zilivyo na kero
Ana mtako mkubwa wa maana upaja wa maana guu la kisukuma ndivyo vinavyompa ujasiri wa kutojali kuonekana ana machunusi kama mtama.Ila Mkuu Mimi sijawahi Kubahatisha kumuona ana kwa ana ila nasikia japokuwa anazimiliki hizo ' Chunusi ' zake nyingi Usoni lakini ana ' Mkia ' wa maana ( namaanisha Kalio au Tako au Wowowo au Inye au Wezere au Uvungu ) Je kwakuwa Wewe unaonekana unamjua ' Kindakindaki ' kuna ukweli wowote hapa?
Mtoa mada hana marinda, mwanaume wa kweli hawezi fatilia kipindi cha vileWanaume wa Dar ndio vipindi vyenu!! Kipindi kinaitwa Dadas na wewe siyo dada na unakifuatilia.
Ana mtako mkubwa wa maana upaja wa maana guu la kisukuma ndivyo vinavyompa ujasiri wa kutojali kuonekana ana machunusi kama mtama.
HAPANA MKUU. Nafahamu mambo mengi ya nyuma kuhusu mahusiano yake ila sijui ya sasa.Mkuu vipi umeshawahi labda ' Kutambaa ' nae nini ' Kibaiolojia ' kwani unaonekana unamjua ' almost ' 99.9% hasa kutokana na utiririkaji na usererekaji wako Kumhusu.
HAPANA MKUU. Nafahamu mambo mengi ya nyuma kuhusu mahusiano yake ila sijui ya sasa.
Hivi hata wanaume wanaangalia dadaz!! Ili iweje sasa
Tupia picha yake mkuu huenda namimi nilishapitaYaani tokea nianze kumsikia na kumfuatilia Yeye kila siku tu utamsikia anafanya ' reference ' kuwa alipokuwa na Mwanaume fulani mara huku na kule hadi najiuliza mpaka hivi sasa ameshawahi kutembea ( Kubanduliwa ) na Wanaume wangapi labda?
Nina muda wa Miezi miwili sasa tokea nianze Kukitizama hicho Kipindi chao ( kwani huwa kina mambo mengi tu mazuri ya Kujifunza hata kwa Sisi Wanaume juu ya Kuishi na hawa Wadada / Wapenzi wetu ) ila amekuwa akiniacha hoi pale ambapo kila ikiibuliwa tu mada fulani utamsikia akisema namnukuu.." Mimi niliwahi kuwa na Mwanaume fulani hivi ". Kwa kumbukumbu zangu hadi hivi sasa huyu Mtangazaji ameshataja idadi ya Wanaume 62 aliowahi kuwa nao.
Je huwa anafanya tu hizo ' references ' zake za Wanaume kama tu ' Kunogesha ' Kipindi chao Kizuri cha DADAZ au anamaanisha na kwamba ni ukweli kwamba Yeye ni Mtu wa kuwa / kutoka na Wanaume mbalimbali ndani na nje ya Tanzania? Kama huwa anatania au anamaanisha mwambieni au mshaurini kuwa ' anajiharibia ' na haijakaa vyema Kwake na anaweza tu akatumia aina nyingine ya ' Uwasilishaji ' wake.
Nawasilisha.
Wanaangalia tu,ni kipindi kizuri sana kinaelimisha pia wanaume huwa wanaalikwa.Hivi hata wanaume wanaangalia dadaz!! Ili iweje sasa
PichaYaani tokea nianze kumsikia na kumfuatilia Yeye kila siku tu utamsikia anafanya ' reference ' kuwa alipokuwa na Mwanaume fulani mara huku na kule hadi najiuliza mpaka hivi sasa ameshawahi kutembea ( Kubanduliwa ) na Wanaume wangapi labda?
Nina muda wa Miezi miwili sasa tokea nianze Kukitizama hicho Kipindi chao ( kwani huwa kina mambo mengi tu mazuri ya Kujifunza hata kwa Sisi Wanaume juu ya Kuishi na hawa Wadada / Wapenzi wetu ) ila amekuwa akiniacha hoi pale ambapo kila ikiibuliwa tu mada fulani utamsikia akisema namnukuu.." Mimi niliwahi kuwa na Mwanaume fulani hivi ". Kwa kumbukumbu zangu hadi hivi sasa huyu Mtangazaji ameshataja idadi ya Wanaume 62 aliowahi kuwa nao.
Je huwa anafanya tu hizo ' references ' zake za Wanaume kama tu ' Kunogesha ' Kipindi chao Kizuri cha DADAZ au anamaanisha na kwamba ni ukweli kwamba Yeye ni Mtu wa kuwa / kutoka na Wanaume mbalimbali ndani na nje ya Tanzania? Kama huwa anatania au anamaanisha mwambieni au mshaurini kuwa ' anajiharibia ' na haijakaa vyema Kwake na anaweza tu akatumia aina nyingine ya ' Uwasilishaji ' wake.
Nawasilisha.
kipindi cha kiduanzi sana nishakataza binti zangu waache angalia huu upuuzi. Kila siku mabwana mabwana hawana matatizo mengine yakujadili ya msingi , Wanawake wa kitanzania wanasafari ndefu sana katika kujikomboa kifikra .