Huyu msichana mimi simuelewi

Dogo usisumbuke we mtafute mwanamke mzuri ongea naye harafu mwambie aje akukute naye akikuambia nataka niongee na wew mwambie huyu hapa ni mwanandani wangu ongea tu kwa kuwa hata ukinitoa hapa lzm huyu nitamjulisha tu usikilizie gugumiz lake

Akikuvalia bango uwe umejiandaa kama laki na nusu hiv kabla ya kuondoka mwambie hii hapa ya matumiz bby wangu harafu mbusu mbele yake harafu mfuate ukamsikilize


Akili zangu nazijuaga mie tu mtu akinizingua igizo lake ntakalomfanyia nadhani aendako atajifunza
 
Huu ndo uwanuaume ninaoutaka mm kila Siku,kukaa kimya nalo ni jib chief,kufanya vimbweka vyote ili akuone unatetereka but umekaza ukayachukua maumiv yako na kuyaweka mfukon,Bravo's You,we kakikutafta tenha we kasikilize tu then hata usionyeshe chochote,hakuna kitu kinatesa MTU akupigie kimya,mana hapo anajiuliza maswal bila majib
Mkuu upo sasa yaani ogopa sana ukikaa kimya unaweza mnyima usingizi
 
Kuna kitu kimoja katika mapenzi ambao wengi hua hatukifahamu; ukweli moyo wa binadamu yeyote, awe mwanamke au mwanaume hua kuna mtu anaye mpenda regardless financial position yake, wanawake kwa kutolijua hilo hukimbilia kwa mwenye pesa, atamvulia pichu but atajikuta ule upweke uliopo moyoni unashindwa kumtoka, yaani there is a right guy for her and of course hata wewe kile kitendo cha kubadiri njia na pia kuleta swali hili humu ni hilo hilo tu linalokusumbua, kwa ufupi hata wewe ulimpenda and still unampenda na huenda moyo utakuuma sana endapo huyu msichana utaona anaolewa na mtu mwingine, hiyo ndio fact ya MAPENZI. Kwangu mimi nakushauri msikilize na baadae fanya maamuzi ya moyoni mwako na sio bla bla zetu, vinginevyo nimalizie tu kwa kusema, K hainaga SHOMBO hata kama imetumika na mwingine.
 
Ma-X wangu wote huwa wanasema mi Nina roho ya kigaidi, sababu mi demu akinizingua nafuta mawasiliano yote na huwa napiga kimya mazima ila nikikutana nao Hi nawapa, washalia wee mi nawacheki tu. Huyo demu we piga kimya kabisa endelea na mishe zako. Watoto wazuri wako wengi sana nowdays.
Safi sana mkuu
 
Me kwa mtazamo wangu nakushauri usikilize moyo unasemaje tunaweza kukuambia kuwa umwache but hatujui wewe moyo na nafsi yako vinakuendesha vip kuhusu huyo mwanamke


Msikilize na kama kakiri kuwa amekosa na hatoludia msamehe uenda atabadilika kutokana na makosa yake


Mala nyingi wanawake huwa tunajuta sana kwa maamuzi yetu ambayo hatufikirii kuwa kesho itakuwaje ni mtazamo wangu kufanya kosa mala moja cyo kosa ila akiludia hapo sasa ndio umpe adhabu but now angalia kile moyo wako unataka.


Kusamehe au kutokusamehe afu kubadilisha njia cyo kwamba mtu utamsahau zinazo kufanya umkumbike ni hisia pita pale pale pa siku zote.
 
Me kwa mtazamo wangu nakushauri usikilize moyo unasemaje tunaweza kukuambia kuwa umwache but hatujui wewe moyo na nafsi yako vinakuendesha vip kuhusu huyo mwanamke


Msikilize na kama kakiri kuwa amekosa na hatoludia msamehe uenda atabadilika kutokana na makosa yake


Mala nyingi wanawake huwa tunajuta sana kwa maamuzi yetu ambayo hatufikirii kuwa kesho itakuwaje ni mtazamo wangu kufanya kosa mala moja cyo kosa ila akiludia hapo sasa ndio umpe adhabu but now angalia kile moyo wako unataka.


Kusamehe au kutokusamehe afu kubadilisha njia cyo kwamba mtu utamsahau zinazo kufanya umkumbike ni hisia pita pale pale pa siku zote.
 
1. Hicho unachotakwa kuambiwa kwanini usiambiwe kwenye simu au SMS? Au akuandikie barua kama alokuandikia kuku-dump. Anang'ang'ania kuja kwako Trust me hakuna jema hapo. Kama ni kuonana muonane mahali public

2. Alikutajia anaejimenyea mpya ili ulete ugomvi au maneno. Ukawa mwanaume wa kweli ukaliepuka. Kipande hiyo kashindwa. Anakuja kwako ili lengo la ugomvi litimie, yule jamaa mwingine aje iwe vurugu. Au akiwa kwako ampigie yule mwingine amtusi amwambie yuko na wewe. Nasikia harufu ya mtego. Kaa chonjo

3. Keshatiwa mimba. Na vile anakujua anajua atakugusa wapi au atasema kipi ulainike ujichapie tena "Fillet" bila condom. Ubebeshwe mimba ya mwenzako ilotungwa 14th Feb. Usikubali faragha at any cost

4. Kama ni mshirikina au keshafundishwa na mashosti anakuja kwako ku-plant. Mkatae kwako asifike.

Uamuzi ulochukua mwanzo wa kukaa kimya ni sahihi sana usikubali leo kuubadili.

Hasira na machungu ya kuachwa yaelekezee kwenye kutafuta hela na ahueni ya maisha. Utapata mwingine atakaekupa raha na kukuheshimu mjenge Empire pamoja
Mimi siyo mdau wa mkubw wa MMU. Lakini lazima nikiri kwamba wewe umenigusa sana kwa uwezo wako wa akili. Hongera sana kwa kuwa na mtizamo mpana.
 
Achana nae wapo warembo zaidi yake pesa yako na uzuri wake pingachini tulia tafakari atakushangaa
 
Mkuu dawa ndogo, mtumie sms mwambie ww & yy mwisho na asiendeleze mazoea then mblock kwenye account zote na ukikutana nae njian usiwe na story nae maana hachelewi kukwambia umsamehe alipitiwa na shetan, wapuuzi kama hao wenye tamaa hiyo ndio dawa yake then akili ikitulia tafuta ke mwingine anayejielewa tangaza ndoa na kadi umpelekee ili ajue ww sio mtu wa kispotispoti
 
Kaka usirudi nyuma uyo atakutesa bandio makusudio yake. Kanae mbali ikibidi hama hapo kabisa,watoto was zuri ni wengi sana
 
wakuu nawashukuru sana kwa ushauri wenu nimejifunza mengi kupitia nyinyi nawaahidi kuleta mrejesho baada ya siku ya kesho kupita ,,
mungu awabariki sana hakika mumenijenga
 
Pole mkuu! Wadada sisi!!!!
Kama hutaji kuwaona kabisa, ukiwa na unauwezo wa kuhama sehemu hiyo ningekushauri uhame ila kama huna uwezo huo basi komaa na msimamo wako. Usimpe time ya kujieleza na wala usimjibu msg. Usibadilishe njia, jifunze kuwapotezea.
hapana hawezi kuhama kwa sababu ya mpuuzi mmoja!
 
Habari zenu ndugu zangu bila shaka mko poa,,
kuna jambo linanisumbua naombeni ushauri wenu kabla sjafanya chochote ,,,ni hivi
kuna binti mmoja nilikua nae kwenye mahusiano kwa muda kidogo ,,nilipanga kumuoa kabisa baadhi ya ndugu zake wanalifahamu hilo
tar 12/2 mwaka huu alipigia simu na kuniomba pesa kidogo anashida nayo pesa ni 200,000 ,,
nikamjibu sina pesa kwa siku hio labda kesho njoo home uchukue,, hakujibu akakata simu
sikua na presha yoyote nilijua kachukia kwa muda tu,,
tangu hapo nikimpigia cm hapokei nikimtumia sms hajibu,,
ilipofika 14/2/ valentine day ,,alitumia siku hio kufanya jambo,, nikiwa nimerudi kwenye shughuli zangu nipo ndani nimepumzika ,,nkaskia mlango unagongwa nikaamka kufika nakutana na mtoto wa jirani wa kiume ameniletea bahasha akaniambia nimepewa kule nikuletee wewe nkasema sawa .
skujua ninani kamtuma yule mtoto ,
Nikafungua na kuanza kusoma
hakika ilikua siku mbaya sana kwangu kwakifupi aliniambia Mimi na yeye basi na tayari anabwana mwingine ,,kibaya zaidi akanitajia na jina la jamaa ambae namfaham,,
basi niliumia sana na mbaya zaidi nilikua nikiwaona wakiwa pamoja nyakati za jioni nikirudi job,
hapo nilimkumbuka mungu wangu niliumia sana lkn ninapokutana nao nawasalimia kwa furaha mpaka wanashangaa
tangu tar moja mwezi huu nimebadilisha njia staki kuumia bure,
lkn wiki iliopita kanipigia cm sijapokea akatulia
kanitumia sms kunisalimu nikamjibu akatulia,,
sasa Jana kanipigia cm kwa namba nyengine akaniambia kuna kitu anataka kuniambia kesho nikamuuliza kitu gani akasema nitakuambia tukionana ,,,jioni ya Leo narudi job nakuta ujumbe kua amekuja kuniulizia
sasa wadau nimfanyaje huyu dem Mimi ninahasira nae yeye hajui tu ,,,nikimtazama nakumbuka upuuzi alionifanyia inauma sana
Nishaurini wadau nimkwepe vp huyu kwasababu nikionnana nae naweza kufanya jambo la ajabu nikapata matatizo
Acha aje umsikilize anachosema.Then ulete mrejesho,lakini pia we teketetea ndani kwa ndani ukiwaona wape hi,muonyeshe huumii kwa aliyoyafanya hata kama unaumia,mkataze kuja kwako siku mkikutana atakapokuja kukuona,akikusmasm salam mjibu salam and no more,akikupigia usikasirike mpaka ajione kumbe ulikuwa unasubiri aseme muachane muachane kweli.Usibadilishe namba ya cmu, njia wala nini komaa nao hivyo hivyo.
 
Mkuu pole sana ila sina cha kukushauri ila we fanya uamuzi ambao hautakugharimu

Ila binafsi nna furaha kubwa na nipende kulishirikisha jukwaa hili furaha yangu kubwa kwani namshukuru Mungu sana kwa binti huyu alienipatia Sarai naamini ndie wangu wakufa na kuzikana bila yeye siku haipiti wanaJf mniombee tuweze kufunga ndoa kama itampendeza Mungu

Hapa nawaza kuanzisha uzi kuelezea hisia zangu kwa wanajamii ili nipate mikakati yakinifu kudumisha pendo hili Mangi wa watu meshikwa nikashikamana
 
so ridiculous....!

wanawake wengine mwalimu wao ni kipofu , yani usikute hyo mjamaa alimdanganya kwa kitu kidogo akatema Karanga kwa big g ya kuonjeshwa ,Anyway....

'usikubali kurudia matapishi huyo either anataka comeback au anajua uta make a revange kumkomoa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom