Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,502
SI KWELIShabiby pia yupo
SI KWELIShabiby pia yupo
Machame Investment Dom-Dar!!
Hivi yule Mama Halima(kama sijakosea) aliekuwa Shabiby halaf baadae Panalpina bado yupo? Inasemekana huyu Halima nae alifuata nyayo zake2014 nilikuwa natoka Dom nakuja Dar kufika chalinze tukakutana na basi fulani hivi ilikuwa mpya mpya kimuonekano jina limenitoka
Yule dereva wa lile basi alitoka spidi na kutu overtake kwa spidi ya ajabu kufika mbele uso kwa uso na scania dereva wetu ikabidi asogee kando kumpisha alivyofanikiwa kupita pita kama vile panya anavyopenya penya na kukoswa bado akawa anaendelea kulikimbiza gari na kuovertake huko mbele mie nilimuona yule driver ni mwansmke ila abiria wengine hawakutambua,basi zima lilipigwa na butwaa na mshangao na minongono kibao
Bahati nzuri lile basi tukafanikiwa kulikuta mile 1 stand ndipo walipomuona yule driver ni mwanamke wacha watu waanze kucheka ,wenye kuongea lake ,watu walishangaa saaana
Popote alipo yule dereva mwanamke heshima kwake ase nampa salute
Alivaa uniform sketi ya blue ,shati jeupe huku akibadilisha gear tu na kuover take mijibaba yenye ndevu alikuwa na fujo sana barabarani
Nimekumbuka hili tukio
Kweli mkuu. Niliposafiri nae 2012 ilisemekana alikuwa na 29yule wa ndenjela ni mdada bwana hajafikia hatua ya umama kama huyo.
Yupo njia gani mkuu?Nadhani huyo wa shabiby ndio yule aliekuwa Ndenjela Nusura
Anaitwa Nusura huyo alianza Shabiby then ndenjela ya dar mbeya alafu akaenda machame investment ya Dodoma to moshi sasa hivi yupo Trinity ya Tanzania to RwandaMwingine yupo anasukuma Trinity bus,Dar to Kigali.
Hivi huwa wanakuwa wameolewa?Huyo hakua ndenjela, anaitwa Zubeda alikua anaendesha tanker la mafuta kwa muda mrefu then Tashriff ya Tanga Dodoma kwa sasa hivi kapumzika.
Ndio wote wameolewa na wana watoto.Hivi huwa wanakuwa wameolewa?
NUSURA yupo MACHAME INV anaenda DOM- DAR SAA 4Kama umefuatilia hapo nimeuliza huyo Nusura Mohammed alishaacha Ndenjela since 2014 swali langu ni huyo mama nilieuliza ndie yupo Tashriff? !
Hujakosea kabisa anaitwa Halima Majugwa.Hivi yule Mama Halima(kama sijakosea) aliekuwa Shabiby halaf baadae Panalpina bado yupo? Inasemekana huyu Halima nae alifuata nyayo zake
Inasemekana female drivers ni careless than male drivers. Sina uhakika sana na hilo.2014 nilikuwa natoka Dom nakuja Dar kufika chalinze tukakutana na basi fulani hivi ilikuwa mpya mpya kimuonekano jina limenitoka
Yule dereva wa lile basi alitoka spidi na kutu overtake kwa spidi ya ajabu kufika mbele uso kwa uso na scania dereva wetu ikabidi asogee kando kumpisha alivyofanikiwa kupita pita kama vile panya anavyopenya penya na kukoswa bado akawa anaendelea kulikimbiza gari na kuovertake huko mbele mie nilimuona yule driver ni mwansmke ila abiria wengine hawakutambua,basi zima lilipigwa na butwaa na mshangao na minongono kibao
Bahati nzuri lile basi tukafanikiwa kulikuta mile 1 stand ndipo walipomuona yule driver ni mwanamke wacha watu waanze kucheka ,wenye kuongea lake ,watu walishangaa saaana
Popote alipo yule dereva mwanamke heshima kwake ase nampa salute
Alivaa uniform sketi ya blue ,shati jeupe huku akibadilisha gear tu na kuover take mijibaba yenye ndevu alikuwa na fujo sana barabarani
Nimekumbuka hili tukio
Ni kampuni ya mabasi ndioNdenjela ni kampuni ya basi au?
Nmekupata mkuu wangu sjui ruti zao ni wapi kwenda wapi?Ni kampuni ya mabasi ndio