Huyu kiongozi awe makini sana, Mungu sio wa mchezo mchezo

Sisi wakristu katika kanuni za kanisa / Mungu tunazuiwa kulitaja bure jina la mungu.
Amri ya tatu ya mungu inasema usitaje jina la mungu bure au kwa uongo.

"USITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO"

Sasa kunakiongozi mkubwa hapa Tanzania kila anaposimama jukwaani haachi kulitaja jina la Mungu bure. Tena anahaka ka msemo " msema ukweli ni mpenzi wa mungu". Yani anatumia jina la mungu kusiliba uongo wake.

Mara ooh hata italy haijengei nyumba wahanga wa tetemeko alafu anamalizia na kusema "msema ukweli mpenzi wa mungu."

Ninaomba tu ni mkumbushe kuwa mungu sio wa mchezo mchezo. Atapata pigo baya sana kama hata acha hii tabia.
Kuna mchanganyiko wa mambo hapa. Hivi unamzungumzia Mungu au mungu? Hujaeleweka maana kwetu Wakristu (Mungu na mungu/miungu) wote wapo. Halafu jina hasa la Mungu ni lipi? Amewahi kulitaja hilo?
 
Sisi wakristu katika kanuni za kanisa / Mungu tunazuiwa kulitaja bure jina la Mungu.
Amri ya tatu ya mungu inasema usitaje jina la Mungu bure au kwa uongo.

"USITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO"

Sasa kunakiongozi mkubwa hapa Tanzania kila anaposimama jukwaani haachi kulitaja jina la Mungu bure. Tena anahaka ka msemo " msema ukweli ni mpenzi wa Mungu". Yani anatumia jina la mungu kusiliba uongo wake.

Mara ooh hata italy haijengei nyumba wahanga wa tetemeko alafu anamalizia na kusema "msema ukweli mpenzi wa Mungu."

Ninaomba tu ni mkumbushe kuwa Mungu sio wa mchezo mchezo. Atapata pigo baya sana kama hata acha hii tabia.
Unadhani alikuwepo bila MUNGU kumjua?mmesha ona mtu akianzisha ka mada kanamhusu kiongozi wetu wa nchi michango inakua mingi basi unaamka tu kuandika unachojisikia,mamlaka hyo MUNGU aliipanga na ndiyo aliileta,iache imtaje MUNGU wake
 
hahaha . ..hata Hitler na idd amin waliletwa na Mungu mkuu
 
Halafu alivyo na kiburi sasa!
Anajiona kama ataishi milele. Anadhulumu wahanga kwa kula rambi rambi zao. Pathetic.
 
Sisi wakristu katika kanuni za kanisa / Mungu tunazuiwa kulitaja bure jina la Mungu.
Amri ya tatu ya mungu inasema usitaje jina la Mungu bure au kwa uongo.

"USITAJE BURE JINA LA MUNGU WAKO"

Sasa kunakiongozi mkubwa hapa Tanzania kila anaposimama jukwaani haachi kulitaja jina la Mungu bure. Tena anahaka ka msemo " msema ukweli ni mpenzi wa Mungu". Yani anatumia jina la mungu kusiliba uongo wake.

Mara ooh hata italy haijengei nyumba wahanga wa tetemeko alafu anamalizia na kusema "msema ukweli mpenzi wa Mungu."

Ninaomba tu ni mkumbushe kuwa Mungu sio wa mchezo mchezo. Atapata pigo baya sana kama hata acha hii tabia.
Kama kweli kuna mungu na amwazibu uyu mnafiki.
 
Kuna mchanganyiko wa mambo hapa. Hivi unamzungumzia Mungu au mungu? Hujaeleweka maana kwetu Wakristu (Mungu na mungu/miungu) wote wapo. Halafu jina hasa la Mungu ni lipi? Amewahi kulitaja hilo?
Kama ni yule mungu angesema "msema uongo ni mpenzi wa mungu" Ni kufuru na waliomkejeli Mungu waliuawa mara moja.
 
kumbe ujui kuwa yule bwana nae ana mungu ambae uwa anamtaja pale! nae ana gods wake ambao hapend kusema uongo kwa muktadha wao, ko pale uwa anaongea ukwel kwa gods wake, sio God unaemfkiria wewe
 
Sasa kama amekuambia ukweli kuna kosa gani fanya kazi acha ulofa .
Leo kasema ukweli. Kesho uongo atakuwa mpenz wa Mungu?
Nikukumbushe tu
1. Hiv aliposema mwezi na nusu haitazid 2 kweny suala la ajira na amekaa kimya mpaka leo naye ni mpenz wa Mungu?
2. Suala uhakiki, km kweli ni mpenz wa Mungu kwann watu wananyasike kwa haki zao naye amekaa kimya? Wafanyakaz mpaka sasa wanaishi km mashetani hakuna uhamisho, no increment, posho kafuta na hakuna kupandishwa madaraja? Je, ni mpenz wa Mungu?
3. KM KWELI NI MPENZ WA MUNGU KWANN KIPIND ALIKUWA WAZIRI KWANN ALIRUHUS MWANAE KUPOKEA MKOPO WAKATI ALIKUWA ANAUWEZO WA KUMLIPIA ADA MWANAE? kama yy mwanae alipata mkopo, je, yy anatumia vigezo gani kuwapa mikopo wengine? HAPA NDIYO UKUMBUKE KUWA DHANA YA UFISADI ILIANZIA MBALI SANA LKN LEO WANAJIFANYA KM NDIYO WAMEINGIA MADARAKAN 2015
"CHAGUO LA MUNGU NI YESU TU NDIYE ALIKUFA NA KUFUFUKA"
 
Back
Top Bottom