Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,191
Katika mwendelezo wa Nole Shilatu kula rushwa huku akiwa amejificha ktk mwamvuli wa dini chini ya dhehebu la sabato ili aonekane kuwa ni mcha Mungu kumbe ni wakala hatari wa shetani amepokea hivi karibuni pesa nyingi sana kama rushwa ili kuwaajiri vijana wazoefu wa kazi ambao miongoni mwao waliogoma kutoa rushwa wameachwa na kukosa kazi.
kwa hapa tu hili ni JUNGU
sioni sababu ya kung'ang'ania kazi moja ambayo ni lazima ukaonge
shika jembe badili kazi hiyo anayepolea rushwa, ni sawa ma zakayp kuna siku atatubu
hap ACACIA km wanamuamini hata likokwe jungu litapoa tu na ataendelea