Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,352
- 14,381
Kumbe kuwa mtoto wa Rais kuna changamoto?.Ridhwani Kikwete baada ya Babake kuwa Rais alikutana na Abbas Mwinyi na Makongoro wakamueleza Changamoto za kuwa Mtoto wa Rais na changamoto zake kwny media.
Ridhwan Kikwete nae ni wajibu wake kukutana na huyu binti kumuandaa kisaikolojia.