Una akili mkuu1: Aliyepiga ile simu ni nani?, ukisikiliza vizuri inaonekana kana kwamba ni kitu cha studio na wala sio simu live,
2: aliyerecord ile sauti ni nani? Ukiisikiliza vizuri utaona Sauti ya Wema iko juu zaidi ya Mbowe, kwa maana kwamba aliyekuwa anarecord ni Wema, lakini swali la kujiuliza iweje aliweza kurecord muito wa simu kwanza?, yaani alianza kurocord vipi mwito ndio arekodi na sauti ya maongezi?
3: kwa nini sauti ya Mbowe haiko clear, yaani anaongea as if ni mtu anayejua kinachofnyika? (Anarekodiwa) yaani mtu alikuwa anaigiza lakini hakutaka kutoka nje ya key, so alikuwa anaongea mkatomkato ili asipoteze sauti (tone) ya Mbowe
Hahahaha...kabisa!Hamna kitu yule ni wema tu
Hahahaha...kabisa!
Mungu ibariki Tanzania .Leo wameachia story ya Mbowe kutoka na Wema kutrend siku nzima!Watu wamejadili,Mbowe kadhalilishwa wakiwa wanaangalia tu!
Muda mfupi uliopita nimekuja na Mada yenye kutoa ushahidi kuwa maongezi yale yamekuwa staged!Niliambatanisha video kuback up hoja yangu,cha ajabu JF mods wameuondoa uzi huo!
Naona kazi yao ya kuruhusu Mbowe achafuliwe imekamilika,sasa kila uzi unaohusu suala hilo wanaufuta!!!
Mbona hawakuufuta uzi huo toka asubuhi?Iweje watoe platform kumchafua ila wazuie watu wanapokuja na ushahidi kuwa kitu kile kimekuwa staged?
Shame on you Moderator
Hahahaha. .kweli mkuuAfadhali sahizi roho zetu zimetulia.
Maana walitaka kumchafua Mwenyekiti.
Hapa hakuna ubishi sauti ndo ileile ya Wema.
Na Mpoki ndiye aliyeiga sauti ya Mwenyekiti.
Hawa waigizaji wanaweza kuhalibu heshima na ndoa za watu.
Asante mleta mada, maana umemaliza kitendawili kilichotuweka kwenye taharuki na sintofahamu.
We mpoki wewe...ohoo...
Shauri Lako.
Ukweli utajulikana soonHakuna alieigiza huko huyo ni wema tu na mh MboweView attachment 519151
zero brainHa ha ha haaaaaaaaaa
Sie tumesikia tumeburudika na kujua kinachojiri.
Mengine tungeni hadi mchoke, au wafungulieni kesi wakajibu mahakani tuone.
Jina lako linaonyesha kuwa wewe sio mtu kama ni mtu akili in ya sisimiziHamna kitu yule ni wema tu
Hamna kitu yule ni wema tu
zero brain
ile audio ya Mbowe na Wema ni ya ukweli kabisa ndio maana mods hawakuutoa ule uzi achene upuuzi nyieLeo wameachia story ya Mbowe kutoka na Wema kutrend siku nzima!Watu wamejadili,Mbowe kadhalilishwa wakiwa wanaangalia tu!
Muda mfupi uliopita nimekuja na Mada yenye kutoa ushahidi kuwa maongezi yale yamekuwa staged!Niliambatanisha video kuback up hoja yangu,cha ajabu JF mods wameuondoa uzi huo!
Naona kazi yao ya kuruhusu Mbowe achafuliwe imekamilika,sasa kila uzi unaohusu suala hilo wanaufuta!!!
Mbona hawakuufuta uzi huo toka asubuhi?Iweje watoe platform kumchafua ila wazuie watu wanapokuja na ushahidi kuwa kitu kile kimekuwa staged?
Shame on you Moderator
Wanipige tu hilo ban!Niliwaomba right when it was posted, wamegoma, unaleta counter attack wanafuta!
Ban massikini! pole