Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 26,407
- 80,676
Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama.
Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu wake ,akili zinafanana.
Mwijaku alianza kuvujisha picha chafu Kwa yule Dada, lakini baadae CCM wakamuona ni SHUJAA.
Mwijaku huyohuyo tukamuona Maka ,anaswali ujinga ujinga .
Mwijaku huyohuyo anapelekea BINTI MDOGO Kudhalilishwa utu wake.
KESHO TUTAMUONA MWIJAKU ,KAVAA LITISHETI LA CCM, YUKO MBELE KUITANGAZA CCM
Hiki chama ni rubbish !!.