Huyo ndio Mwijaku , ambaye CCM inamchukulia kama kioo chake Cha Jamii

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
26,406
80,676
Kwa Chama kinachojitambua na kinachoamin katika UTU, Mwijaku alitakiwa kupigwa Marufuki kushiriki Shughuli zozote za kichama Kwa jina la chama.

Ila Kwa kua ni CCM , ukiangalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu wake ,akili zinafanana.

Mwijaku alianza kuvujisha picha chafu Kwa yule Dada, lakini baadae CCM wakamuona ni SHUJAA.

Mwijaku huyohuyo tukamuona Maka ,anaswali ujinga ujinga .

Mwijaku huyohuyo anapelekea BINTI MDOGO Kudhalilishwa utu wake.

KESHO TUTAMUONA MWIJAKU ,KAVAA LITISHETI LA CCM, YUKO MBELE KUITANGAZA CCM

Hiki chama ni rubbish !!.
 
Ukiingalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu wake ,akili zinafanana.

Mwijaku alianza kuvunisha picha chafu Kwa yule Dada, lakini baadae CCM wakamuona ni SHUJAA.

Huyo mwijaku ni takataka
 
No reform no election.
 
Relax gentleman, haina chama wala formula hiyo kitu hata kama uko kwenye ndoa na una watoto 🐒
 
Attachments

  • IMG_20230125_142540.jpg
    IMG_20230125_142540.jpg
    59.2 KB · Views: 2
Ukiingalia CCM Kwa akili ya chekechea tu bila hata kuanza darasa la kwanza , utagundua ni chama ambacho asilimia Kubwa ya Watu wake ,akili zinafanana.

Mwijaku alianza kuvunisha picha chafu Kwa yule Dada, lakini baadae CCM wakamuona ni SHUJAA.

Mwijaku huyohuyo tukamuona Maka ,anaswali ujinga ujinga .

Mwijaku huyohuyo anapelekea BINTI MDOGO Kudhalilishwa utu wake.

KESHO TUTAMUONA MWIJAKU ,KAVAA LITISHETI LA CCM, YUKO MBELE KUITANGAZA CCM

Hiki chama ni rubbish !!.
We mbwa koko CCM Mwijaku ni kiongozi wa nini, km huwezi siasa nenda kalime usilazimishe. Ufukara wako si kwa ajili ya CCM ni uzembe wako na uvivu wako.
 
Vichwan mwenu nyie Lumumba Buku Saba, mmejaza matope tu.

Huwezi kua na akili TIMAMU ,ukafumbua macho upuuzi wa aina hiyo.
Relax and calm down gentleman,

jadili bila mihemko wala makasiriko itapendeza zaidi, check hii muzee in mke wa kiume yupo korokoroni saivi 🐒
 
Attachments

  • IMG-20250414-WA0022.jpg
    IMG-20250414-WA0022.jpg
    7.7 KB · Views: 1
We mbwa koko CCM Mwijaku ni kiongozi wa nini, km huwezi siasa nenda kalime usilazimishe. Ufukara wako si kwa ajili ya CCM ni uzembe wako na uvivu wako.
Wee lipuuzi kwelikweli, MWIJAKU kutokua Kiuongozi, hakuondoi ukweli kua CCM kimekua kinamtumia kujitangaza na blaa blaaa za kisengesenge.

Sasa oneni aina ya MTU anayebeba Jina lenu🤣🤣
 
Back
Top Bottom