Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,413
- 56,029
Shikamoo zamani la kwanza miaka 8 umenizidi!!!!Kwani wewe una umri gani... Mbona umeshtuka sana? 92 mimi nilikua std 4. So if ur clever enoug you can guess on my age.
Hyo movie ilitubamba sana watoto enzi hzo... Tena kwa kuchungulia madirishani..