Mkuu umemwambia ukweli huyu mkuu mwenzetu ingawa huwa naona itikadi yako imelalia sehemu fulani. Jambo jema.Nadhani mtoa mada ameangalia social life ya Mbunge mteule lakini huyu Dada ni mpiganaji kweli kweli ambaye anapigana sana na kuhakikisha wanawake wananyanyuka kiuchumi.
Na ni balozi Mzuri sana kupitia Umoja wa Mataifa ktk Woman empowerment.
Hizo post zake na picha zake ni social life tu wala si kigezo cha tabia mbaya wala kutoa kuwa makini na majukumu yake inategemea amekulia ktk familia za maisha yapi!!
Nashukuru kwa wote kuyaona hayo hakuna sababu ya kuanza kum discourage MTU hata mchango hujui unaanza kumjengea Negative attitude pasipo na sababu!!Mkuu umemwambia ukweli huyu mkuu mwenzetu ingawa huwa naona itikadi yako imelalia sehemu fulani. Jambo jema.
View attachment 505459 View attachment 505460 View attachment 505461 View attachment 505456 View attachment 505457 View attachment 505458
Wakuu,
Kuna watu wanasema kuteuliwa wa Catherine Ruge kuingia katika Bunge la JMT, Dodoma, haujazingatia vigezo. Wengi wanasema yule si kilema, kwanini CHADEMA wasiweke kilema kuwakilisha vilema kuchukuwa nafasi ya marehemu aliyekuwa Mbunge mlemavu?
Wengi wanasema yawezekana ulemavu wa binti huyu unajulikana kwa wakubwa tu, ndo maana wamekuwa vipofu wa kufanya maamuzi yatakayokuwa na tija kwa taifa.
Sisi kama GT tunasemaje?
Hapa nimeona mambo yake. Ni kweli kilema chake wanajua wakubwa tu?
Hao waliteuliwa kabla Possi hajaondolewa. Possible aliondolewa ili kukidhi matakwa ya kikatiba baada ya wabunge wakuteuliwa wa kiume kuzidi watano.Kwanza angetueleza Kama Dr. Macha aliingia bungeni kwa ticket ya ulemavu au wanawake? Watu wanaropoka hata hawajui marehemu Dr Macha alikua kundi gani. Ila kwakua walimuona ana ulemavu tu.
NB: Baada ya Dr. Possi kufanyiwa sub mtueleze kati ya Kabudi na Bulembo ni nani zeruzeru?
Aliyepata kapata.sasa umeweka hizo post zake ili iweje?
KapoteaYamelishuka mpaka limejificha, nyoko lilifikri humu raia wanabahatisha!!
Ufipa -kinondoni, hii mada ina ukakasi Sana.
Kwanza, NEC ndiyo inayochagua hao Wanawake wa viti maalum kama pana aliyefariki.
Pili, nafasi hiyo siyo kwa vigezo vya KE awe mlemavu
Tatu, watu wote hasa Wanawake kuwa katika siasa haina maana kuwa maisha yao ya mahusiano , mapenzi hadi ngono husimama la hasha. Bali hufanyika kwa heshima na nidhamu. Sababu, siasa haiwabadilishi kutokuwa na hisia za kiutu.
Tatizo lako, umejaa USHILAWADU!! , ndiyo maana ukaleta hizo SMS za Ms. Ruge na kuziwekea maneno yako machafu.
Nne, mbona huleti picha za wanaume wanasiasa wanaofanya ufukusa na ulevi. Au hujui kuwa nao ni wachafu zaidi,!?
Tano, hakika umewakosea sana Wanawake wote kwa uzi huu tena ni unyanyasaji wa kijinsia ulioufanya hapa wa kumdharau huyo Ms. Ruge.
Halafu, tambua hakuna msafi kwenye hii Dunia ya Mungu: Yenye vitu vya mzungu koko!!!
Viti Maalumu zipo.kwani kuna nafasi ya vilema bungeni?
Mwenye akili anajua unapokuwa kiongozi katika jamii unatakiwa uwe vipi. Usilete za Wema useme utakuwa kiongozi.
Usajili wa kisanii kama huu hausaidii taifa bali wakubwa wenu tu.
Nashukuru kwa wote kuyaona hayo hakuna sababu ya kuanza kum discourage MTU hata mchango hujui unaanza kumjengea Negative attitude pasipo na sababu!!
Huyu ndiyo kwanza anaingia anatikiwa kutiwa moyo ili akaonyeshe uwezo wake wa kujenga hoja!! Na siyo business as usual!!
Kwanza angetueleza Kama Dr. Macha aliingia bungeni kwa ticket ya ulemavu au wanawake? Watu wanaropoka hata hawajui marehemu Dr Macha alikua kundi gani. Ila kwakua walimuona ana ulemavu tu.
NB: Baada ya Dr. Possi kufanyiwa sub mtueleze kati ya Kabudi na Bulembo ni nani zeruzeru?
Kuna watu wa Chafu wanawake wa CCM lakini sijawahi kusikia wala kuona ukisema Uzi humu.
Maneno au mawasiliano ya kwenye mitandao yasiwe kigezo cha kumtukana au kudhalilishwa utu wa MTU.
Kabla hujaandika upumbavu anza kujitathmin wewe mwenyewe.
We jamaa; haya mawazo unayo siku nyingi au yamekujia ghafla?Kwanza angetueleza Kama Dr. Macha aliingia bungeni kwa ticket ya ulemavu au wanawake? Watu wanaropoka hata hawajui marehemu Dr Macha alikua kundi gani. Ila kwakua walimuona ana ulemavu tu.
NB: Baada ya Dr. Possi kufanyiwa sub mtueleze kati ya Kabudi na Bulembo ni nani zeruzeru?
View attachment 505459 View attachment 505460 View attachment 505461 View attachment 505456 View attachment 505457 View attachment 505458
Wakuu,
Kuna watu wanasema kuteuliwa wa Catherine Ruge kuingia katika Bunge la JMT, Dodoma, haujazingatia vigezo. Wengi wanasema yule si kilema, kwanini CHADEMA wasiweke kilema kuwakilisha vilema kuchukuwa nafasi ya marehemu aliyekuwa Mbunge mlemavu?
Wengi wanasema yawezekana ulemavu wa binti huyu unajulikana kwa wakubwa tu, ndo maana wamekuwa vipofu wa kufanya maamuzi yatakayokuwa na tija kwa taifa.
Sisi kama GT tunasemaje?
Hapa nimeona mambo yake. Ni kweli kilema chake wanajua wakubwa tu?
Possi mlemavu wa ngozi alikuwa replaced na Bulembo ambaye ni mlemavu wa nini???