Huu ulinzi wa Gwajima vipi?

Tundu lissu naye muhimu apate ulinzi kama huu, Obama akiwa bado mbunge wa Illinois alikuwa na ulinzi wa nguvu sababu tayari alionekana presidential material
 
Anajiita dude! Si mtu wa mchezo mchezo! Yeye ni zaidi ya Raisi eti kwakwe yeye kuwa Raisi anajishusha! Sasa hayo ndo mambo walinzi kama hao ukiwa Raisi huwapati.
 
Back
Top Bottom