Huu Ukoloni na umangimeza wa kuwalipa mishahara watumishi wa JWTZ mapema na kuwasubirisha watumishi wengine ukomeshwe..

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
5,928
14,158
Katika moja ya mambo ambayo nchi yetu imerithi kutoka kwa wakoloni ni hili la kuwalipa mishahara mapema watumishi wa majeshi hasa JWTZ na kuwaacha watumishi wengine wakisota kwa muda inatakiwa ukomeshwe kama sio kupigwa vita kabisa. Sote tunafahamu kuwa katika nchi yetu kumeundwa vyama mbalimbali vinavyojiita eti ni vyama vya wafanyakazi kama trade union congress of Tanzania (TUCTA), Chama Cha waalimu Tanzania (CWT) na Tanzania union of industrial and commercial workers( TUICO) vyama hivi vimekuwa mstari wa mbele hasa katika kukusanya michango ya kila mwezi kwa wanachama wake ambao ndio hao watumishi. Na ukiangalia moja ya malengo ya kuanzishwa vyama hivi ni kupigania maslahi ya watumishi, lakini vyama hivi vimekuwa ni mbadala mwingine wa kuwanyonya watumishi..
 
Watumishi wote wanazitumia taaluma zao na ujuzi mbalimbali wanaopata kutoka vyuoni kuwahudumia watanzania wote sawa iweje mwanajeshi ndie anaonekana anaitendea kazi yake vizuri sana kuliko wengine?
 
Katika moja ya mambo ambayo nchi yetu imerithi kutoka kwa wakoloni ni hili la kuwalipa mishahara mapema watumishi wa majeshi hasa JWTZ na kuwaacha watumishi wengine wakisota kwa muda inatakiwa ukomeshwe kama sio kupigwa vita kabisa. Sote tunafahamu kuwa katika nchi yetu kumeundwa vyama mbalimbali vinavyojiita eti ni vyama vya wafanyakazi kama trade union congress of Tanzania (TUCTA), Chama Cha waalimu Tanzania (CWT) na Tanzania union of industrial and commercial workers( TUICO) vyama hivi vimekuwa mstari wa mbele hasa katika kukusanya michango ya kila mwezi kwa wanachama wake ambao ndio hao watumishi. Na ukiangalia moja ya malengo ya kuanzishwa vyama hivi ni kupigania maslahi ya watumishi, lakini vyama hivi vimekuwa ni mbadala mwingine wa kuwanyonya watumishi..
Uko taasisi gani mkuu
 
Akome nani sasa? Saa100 au

Hapo ndio akili ya watawala ilipolalia,jeshi wanafumbia maovu ya watawala kwasababu stahiki zao wanapata kwa wakati.
 
Back
Top Bottom