Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Nov 17, 2023
1,368
3,788
Kwenye video hii Ahmed Kombo, mwanaharakati huru, anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sifa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea!

Ndio tunaelekea huku na Rais Samia pamoja washauri wako wala hamshtuki, mnaona raha tu kusifiwa wakati ukweli ni kwamba hamna kitu, ni vile watu wameona njia rahisi ya kupata madaraka ni kukuimbia mapambia?!

Mpaka uchaguzi 2025 upite tutashuhudia mengi!

====

Pia soma:

- Ahmed Kombo aliyesema akitoka Yesu na Mtume Muhammad anayefuata ni Rais Samia awaomba Radhi Wakristo na Waislam!

- LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
ukifatilia history ya siasa za duniani kuanzia wafalme KAULI na MATENDO YA WAZI ya kukufuru zinaleta maafa juu ya maafa KAULI za kukufuru mbaya sana zikatazwe
Tatizo hatuna media ya maana zote #&$£×¥*
 
2030 tukipata rais mwngn wataanza kumponda samia kama wanavyofanya sasa hv kwa JPM
 
Wala sishangai haya kwani kuna watu walimpamba yule mzee mpaka kumuita majina hata naogopa kuandika maana ulikuwa ni ujuha uliopitiliza
Nchi hizi za kimasikini hata ukiwa na tuhela kidogo utaitwa majina ya kila aina na sifa kibao

Tuwaache uchaguzi umekaribia na siku hizi siasa ni dini kwao
Wanaamini Siasa na kuliko dini zingine
Ukiingia siasa usahau dini na kadri unavyopata cheo ndio kabisa
Na Siasa ina mambo mengi sana ambayo ni kinyume kabisa na dini
 
Watamuua huyu Maza!
 
Kwenye video hii jamaa huyu nadhani ni kiongozo wa dini anaelezea ukubwa wa Rais Samia na kumwaga sisa kedekede mpaka kufikia kusema baada ya Mtume Mohammad na Yesu anafuata Rais Samia! Amenikumbusha bwana Kabudi aliyemuita Magufuli Mungu afu akazuga kama amekosea!

Ndio tunaelekea huku na Rais Samia pamoja washauri wako wala hamshtuki, mnaona raha tu kusifiwa wakati ukweli ni kwamba hamna kitu, ni vile watu wameona njia rahisi ya kupata madaraka ni kukuimbia mapambia?!

Mpaka uchaguzi 2025 upite tutashuhudia mengi!

====

Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Laana huja kwa njia mbalimbali. Ngoja tuone.
 
Nashauri kukamatwa kwa huyu jamaa, anatudhalilisha watanzania sana
 
Mimi ni chawa wa Mwamba Jiwe Magufuli, CCM pamoja na viongozi wake wote, lakini kwa huyu jamaa sijafikia na sitarajii kufika huko!
 
Back
Top Bottom