Afande Macha
Member
- Oct 12, 2023
- 63
- 78
Nashukuru sana mkuu.OK sawa nenda maduka ya wahindi wana mchele wao unatoka India ni mzuri au nenda maeneo walipo wasomali wanajua sehemu za mchele mimi mwezi ujao ntakua JHB kama ntabeba mchele ntakujulisha ntakujulisha ntakutumia huko utarudisha hela ya kununua tu...
Utanijulisha ikiwa hivo.
Naonaga wadau wanakuuliza maswali unatoa ushirikiano mzuri.
Big up sana.