Kuelekea 2025 Huu ni uchaguzi au ni kiini macho tu? Toka 1995 mpaka 2025.( Miaka 30)

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Gabeji

JF-Expert Member
Sep 10, 2024
874
1,172
Tume ya uchaguzi ipo chini ya CHAMA x

Mwenye kiti wa tume ni mteule wa CHAMA x

Wasimamizi wa uchaguzi ni wajumbe wa CHAMA x
Polisi wanaosimamia uchaguzi ni wa CHAMA x
Usalama wa taifa upo upande wa CHAMA x
Bajeti ya uchaguzi inatolewa na CHAMA x
Vifaaa na vyombo vya usafiri kwa ajili ya uchaguzi vinatolewa na CHAMA x
Anaehesabu kura anatoka CHAMA x

Anaetangaza matokeo ya uchanguzi anatoka CHAMA x.
Watanzania ivi hapo napo kuelewa tu panahitaji uwe na D mbili? Simple logic
Nimemsikiliza mh rema anasema tutakomaa tu? Are you serious?
Marehemu magufuli Rais wa awamu ya tano alitoa siri nzito sana juu ya siasa za Tanzania.
 
Miaka yote hiyo nawe bado uko chadema tu umeng"ang"ana na manung'uniko yako huku ukiwa unasubiri huruma na miujiza.🤣.

huo sio unganga na ushirikina kweli gentleman ?🐒
 
Kabisa huu ni ushirikina kabisa
sure,
maana si kawaida mtu timamu kung'ang'ana na vinavyomtesa 🤣

moja kati ya dalili za mwanzo kabisa kwa anapitia changamoto za afya ya kisaikolijia ni pamoja na kuwaza, kuamua na kutenda mambo ambayo yatamuathiri yeye mwenyewe 🤣
 
Kuindoa CCM madarakani mpaka tupigane vita sio raisi.labda nawahurumia wazanzibari yaani waliuza nchii mchana kweupee watachomoka vipi na minyororo ya Tanganyika.
 
Tume ya uchaguzi ipo chini ya CHAMA x

Mwenye kiti wa tume ni mteule wa CHAMA x

Wasimamizi wa uchaguzi ni wajumbe wa CHAMA x
Polisi wanaosimamia uchaguzi ni wa CHAMA x
Usalama wa taifa upo upande wa CHAMA x
Bajeti ya uchaguzi inatolewa na CHAMA x
Vifaaa na vyombo vya usafiri kwa ajili ya uchaguzi vinatolewa na CHAMA x
Anaehesabu kura anatoka CHAMA x

Anaetangaza matokeo ya uchanguzi anatoka CHAMA x.
Watanzania ivi hapo napo kuelewa tu panahitaji uwe na D mbili? Simple logic
Nimemsikiliza mh rema anasema tutakomaa tu? Are you serious?
Marehemu magufuli Rais wa awamu ya tano alitoa siri nzito sana juu ya siasa za Tanzania.
Vile unapiga Bomu mochwari ukajisifu umeua.
 
Nimemsikiliza mh rema anasema tutakomaa tu? Are you serious?
sasa ukisusia kama last time, wanachaguana, and that is the end of it! what do you do in this scenario?
Kuna optins mbili: Unaenda kwenye uchaguzi kupambana na wauaji na ukiwa tayari kufa
2. Au mnanzisha kitengo cha UMKONTHO WE SIZWE!
short of those two huwezi kufanya uchaguzi wa kweli na ukashinda!
 
Back
Top Bottom