nao
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 1,832
- 1,940
Kwani atakua Wa kwanza Kula matapishi walikula chadema Na lowasa ije kua yeye.ATAKULA MATAPISHI YAKE
Kwani atakua Wa kwanza Kula matapishi walikula chadema Na lowasa ije kua yeye.ATAKULA MATAPISHI YAKE
Kwahiyo lengo lako akatae nae? Hivi ungekua wewe ungekataa kweli? Acheni maigizo.I maybe wrong, lakini nakumbuka Jenerali Ulimwengu aliwahi kukataa uteuzi wa kuwa Mkuu wa Wilaya akisema ni kazi ya kitarishi.
Wewe ndo ukajisomeeeeePole sana, pata muda wa kujisomea, ili uweze kujibu hoja kwa hoja. Kasome ukuaji(growth) wa lugha. Usilipuke. Kajisomee kidogo historia - Victorian English, Kilichopo sasa kilifikiwaje na lahaja mbambali. Hata kiswahili tangu kilichoongewa Mombasa 1498 na kabla, mpaka Kiswahili Sanifu cha sasa hapa TZ. Itakusaidia kuacha kukariri.
Huko ndio kukariri. Narudia tena kasome historia ya ukuaji wa lugha chimbuko, historia yake lahaja-pidgins-zake. Pole sanaWewe ndo ukajisomeeeee
The Story of the Double Negative
Double negatives and usage - English Grammar Today - Cambridge Dictionaries Online
3 Things You Must Know About Double Negatives
Wewe ndo ukajisomeeeee
Double negatives and usage - English Grammar Today - Cambridge Dictionaries Online
3 Things You Must Know About Double Negatives
Kukua kwa lugha gani? Kuna baadhi ya lugha kama kiswahili chetu kinakubali double negation but kwenye kimombo utatengeneza a lot of contradiction.Huko ndio kukariri. Narudia tena kasome historia ya ukuaji wa lugha chimbuko, historia yake lahaja-pidgins-zake. Pole sana
Tatizo lako mvivu afu unapenda ubishi bila facts. Kasome kasome nikasome wapi? Wewe ndo ukasome. Ingia hata Wikipedia utajua nnachokitetea hapaHuko ndio kukariri. Narudia tena kasome historia ya ukuaji wa lugha chimbuko, historia yake lahaja-pidgins-zake. Pole sana
Kuna lahaja-pidgins kadhaa za english duniani. American english, Indian english, Jamaican english na nyingine nyingi. American english inaruhusu mambo mengi ambayo kwenye UK english yanaleta ukakasi. Kiingereza hicho hicho cha sasa kina tofauti kwenye baadhi ya maneno na hata grammar ukilinganisha na Victorian English iliyokuwa 17th century. Kule walisema hath, speaketh; sasa ni has, speaks. Vyote ni sawa kwa wakati wake, ndio lugha kukua-growing. Lugha hukua kwa kuhalalisha misemo, maneno hata yaliyokuwa ya utani 'slang'. Wamarekani walitawaliwa na Waingereza, lakini kwenye baadhi ya maneno spelling sasa hivi zinatofautiana; color(colour). Huko ndio kukua kwa lugha. Double negation kwenye US English iko sawa kabisa. Endelea kujisomea itazidi kusaidia. Wikipedia inatoa vionjo tu. Lugha zote zinakua hazigandiTatizo lako mvivu afu unapenda ubishi bila facts. Kasome kasome nikasome wapi? Wewe ndo ukasome. Ingia hata Wikipedia utajua nnachokitetea hapa
In this week’s episode of EverydayKuna lahaja-pidgins kadhaa za english duniani. American english, Indian english, Jamaican english na nyingine nyingi. American english inaruhusu mambo mengi ambayo kwenye UK english yanaleta ukakasi. Kiingereza hicho hicho cha sasa kina tofauti kwenye baadhi ya maneno na hata grammar ukilinganisha na Victorian English iliyokuwa 17th century. Kule walisema hath, speaketh; sasa ni has, speaks. Vyote ni sawa kwa wakati wake, ndio lugha kukua-growing. Lugha hukua kwa kuhalalisha misemo, maneno hata yaliyokuwa ya utani 'slang'. Wamarekani walitawaliwa na Waingereza, lakini kwenye baadhi ya maneno spelling sasa hivi zinatofautiana; color(colour). Huko ndio kukua kwa lugha. Double negation kwenye US English iko sawa kabisa. Endelea kujisomea itazidi kusaidia. Wikipedia inatoa vionjo tu. Lugha zote zinakua hazigandi
Kwa
Kwahiyo lengo lako akatae nae? Hivi ungekua wewe ungekataa kweli? Acheni maigizo.
..Pia katuonesha kuwa yeye ni KADA!...kwa hiyo anajijua yeye ni mzigo?? teh teh! siasa bwana!