Al-Watan
JF-Expert Member
- Apr 16, 2009
- 11,891
- 14,580
Mbona Nyerere mmemuita Mwalimu mpaka anafariki na alishaacha kufundisha shule miaka mingi?Navyojua mimi Professor ni jina la kiwalimu na ndiyo maana huwezi kwenye US au UK ukasikia mwanasiasa full time anaitwa Professor bali wanaitwa Dr au wanaweka PHD mwisho na wanaitwa majina ya kawaida
Au kwa sababu "Mwalimu" ni Kiswahili na "Professor" ni Kiingereza ?