Hussein Bashe: Umasikini ndio hatari kwa usalama wa nchi, sio nyimbo za wasanii

Muongo huyo..hizo ni hasira za mkizi baada ya boss wake kukosa urais na kutoswa na ccm..mbona hakuongea kipindi kile kibaya kabisa ambapo aliuawa mwangosi na yeye alikuwa mwanahabari?? Mbona hakuongea alipotekwa yule Dr na kung'olewa meno na kucha kwa praizi?? Vipi mauaji ya arusha ya wanachadema?? Hako kajamaa ni kanafiki..kajaa laana
 
Kwani kakamatwa Na Polish au Ndo hisia zako tuu.
Hata kama sio polisi lakin kwa nini haya yaotekee awamu hii zad tena kwa taswira ya matukio yanayo fanana?? Ref. Kuwekwa ndani g.lema miezi minne mahabusu kinyume na taratibu,Uvamizi clouds, kupotea ben saa nane, kushikwa na kuachiwa nay wa mitego,na sasa huyu roma mkatoliki ,vitisho kwa nay na mengi yafananayo lazima uconnect dots
 
Daah haya basi sawa kwahiyo Mkuu unashauri Trump aje?

Typical African Mentality Mpaka Mzungu Aje Ndiyo Akutatulie Matatizo Yako.

Kutatua Matatizo Yako Lazima Usimame Uhesabiwe Lasivyo Utakuwa Huna Tofauti na Wale Mbuzi wa Vingunguti

Unazaliwa, Unalishwa Nyasi, Unachinjwa, Kisha Watu Wanakula Nyama
 
BASHITE a.k.a KING KIKII ndio muhusika mkuu kwenye kuhusu kutekwa kwa R.O.M.A ndio maana wenzie akina TALE wanataka utukufu urudi kwake! Ujinga sana!
 
Bungeni mnashindwa kuwa kitu kimoja mnalalama mitandaoni.

Bungeni wanawagawa na nyie hili hamlioni!!

Wewe 2020 unaweza ukarudi kama utajaliwa uzima na utagombea lakini wengi wa kutoka chama chako wataangukia pua.

Tunawasubiri kwa hamu maana wao wameweka mbele uchama kuliko wapiga kura wao na maslahi ya Taifa kwa ujumla.

Imani kidogo tuliyonayo imebaki kwenye Mhimili wa Mahakamu tu.

Nawashauri maneno ya Lema jana Bungeni ndio yawe dira yenu na ikiwezekana myakariri kama sala zilizoko katika vitabu vyetu vya imani.

Mnaweza mkampuuza Lema kama Lema lakini siyo maneno yake.

Iko siku mtayakumbuka maneno yale mithili ya Yuda Eskariot alivyoyakumbuka maneno ya Yesu Kriso baada ya Jogoo kuwika.
Ni kweli Mkuu. Na wakumbuke kuwa yule mchezaji wao maarufu wa goli la mkono tayari ana card mbili za njano hivyo sidhani kama kocha wao atamchezesha kwenye mechi ya fainali 2020.
 
Bashe mbona hueleweki,kwani hukujua CCM ni nini?
Bwana Mdogo huangalii waliokutangulia waliozungumza mawazo yao ya kukisahisha chama na serikali yake nje ya vikao rasmi vya chama-:
Aboud Jumbe
Horice Kolimba
Lyatonga Mrema
Kingunge Ngombare Mwiru
Nape
Jenerali Twaha Ulimwengu
List inaendelea
Ukisha zoea kuhangaika na vitu vidogo vidogo mara nyingi vilivyo vikubwa vinakupa shida sana kuhangaika navyo ,kiongozi bora ni yule anaye hangaika na mambo makubwa kwa malengo maalumu na yalio madogo huyaacha yapite kama hayana tija .
 
Anaandika Hussein Bashe

Who is behind all this?
Ni genge ambalo limejipa mamlaka ya kupandikiza woga na chuki miongoni mwa jamii na kuharibu Taswira ya CCM.
Tunawajibu wa kukataa woga ,Tunawajibu wa kutoruhusu Misuse ya vyombo vya Ulinzi na usalama, Tunawajibu wa kulinda Taifa letu.

Tunawajibu wa kupigania Values zilizopiganiwa na waasisi wa Taifa letu kama Mzee Karume na Mwl Nyerere,
Tunawajibu wa kukataa ukandamizaji
Tukikaa kimya kwa kufikiri kuwa hayanihusu mimi yanamhusu yule yatakapokufika wewe hatakuepo mtu wa kukutetea na halitakuepo Taifa la Tanzania.

Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi.
Kama mtu Ana makosa ufuatwe utaratibu wa kisheria kumkamata na sio utekaji.
Tunakabiliwa na vita kubwa ya kupambana na Umasikini na kujenga Taifa huru la kiuchumi .

"Umasikini ni hatari kwa usalama wa taifa sio nyimbo".
[HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG]
Yeye si mnec kwenye vikao vyao.. Kwanini walimwambia mwenyekiti wao.... Huu utekaji ni ccm.. Mazuri wanayataka mabaya hawayataki
 
Bashe namuelewa sana huyu jamaa! Kwake maslahi ya nchi kwanza,anafaa kuwa kiongozi wa kitaifa
 
Back
Top Bottom