Humphrey Polepole: Rais Magufuli anatekeleza Katiba Mpya

Ukitaka kujua tabia ya mtu mpe hela...haya ni ya kawaida kutokea Tz hata wazr flani aliruka andiko lake lakitaaluma juu ya katiba...wako waliomkana hata Yesu...
Haina haja ya Kumficha, Mwakyembe Huyo. Hili Taifa lina watu hopeless kabisa.
 
Kwani tuna Katiba mpya? Hebu acheni kucheza na akili za watanzania!

Katiba iliyoko ni ya mwaka 1977, Kama Rais haifuati hiyo huyo hatufai, Kwa maana nyingine ni kwamba ameapa uongo.

Ingawa tunahitaji Katiba inayokidhi mahitaji ya sasa.
 
Dhambi ya kuchakachua maoni ya wananchi itazidi kuwatafuna,Magufuli atekeleze katiba ambayo chama chake kimeshaichakachua?.
 
Kama Mbowe, Lisu, Msigwa, Mnyika, Lema walisaliti maneno yao ya kuwa Lowasa ni fisadi anasitahili kuwa jela!!

Kwa nini iwe nongwa kwa Pole pole kusaliti maneno yake??

Bavicha msifikiri watu wote ni Nyumbu
 
kwahiyo kila anayemkosoa polepole ni bavicha? huo ni mtazamo hasi mnoo.
 
Pumbavu kabisa haka kazee. Unatekelezaji 'katiba mpya' wakati iliyopo bado ipo kisheria na Kigali? Huku si ni kuivunja katiba aliyoapa kuilinda?
Nchi ya ajabu kabisa hii.
 
Nawaonea huruma viongozi vijana wanaotumikia serikali hii halafu wakawa wapayukaji. Miaka 10 si mingi ambapo wao watakuwa bado na nguvu ya kufanya kazi lakini "legacy" walioiweka katika miaka yao 10 ya uongozi haitawafanya wawe "chaguo" la miaka 10 ya mwingine ajaye (unless, Rwanda mpya au Uganda mpya izaliwe ndani ya Tanzania). Hivyo watachezea benchi ilihali wana nguvu za uongozi. Ni bora kuwa NAM tu katika awamu hii.

Ushauri tu.
 
Kweli mkuu, wengine pia tulishauri walitukejeri eti Anayefanya kazi na usimamizi ni mtu na si Katiba. Yaani wana Hoja Mfu mpaka wanakera.
 
Kwani tuna Katiba mpya? Hebu acheni kucheza na akili za watanzania!

Katiba iliyoko ni ya mwaka 1977, Kama Rais haifuati hiyo huyo hatufai, Kwa maana nyingine ni kwamba ameapa uongo.

Ingawa tunahitaji Katiba inayokidhi mahitaji ya sasa.
haha wala haijui akilala akiamka anataifisha shule
ananunua bombadia cash
anaweka pesa za wahanga mifukoni bila kufwata sheria
katiba wala kanuni yoyote ya manunuzi ya zamani haiwezi iweje aseme anatekeleza ambayo haipo kheee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…