sawa tu. Kwani tatizo liko wapi.Wananchi tuamke kuna uwezekano jamaa huyu akagomea madarakani hata muda ukiisha.
Si unajua mlevi akikolea tembo hata ukimpa maji ya ndimu atasema ya leo kaliAnatekeleza katiba mpya ipi??
Na ukitaka kumkamata mtu mpe 'kula', ndo kilichofanyikaHuyu dogo keishaanza kulewa cheo walichompa. Njaa mbaya saana.
kwahiyo kila anayemkosoa polepole ni bavicha? huo ni mtazamo hasi mnoo.Kama Mbowe, Lisu, Msigwa, Mnyika, Lema walisaliti maneno yao ya kuwa Lowasa ni fisadi anasitahili kuwa jela!!
Kwa nini iwe nongwa kwa Pole pole kusaliti maneno yake??
Bavicha msifikiri watu wote ni Nyumbu
Kweli mkuu, wengine pia tulishauri walitukejeri eti Anayefanya kazi na usimamizi ni mtu na si Katiba. Yaani wana Hoja Mfu mpaka wanakera.Nawaonea huruma viongozi vijana wanaotumikia serikali hii halafu wakawa wapayukaji. Miaka 10 si mingi ambapo wao watakuwa bado na nguvu ya kufanya kazi lakini "legacy" walioiweka katika miaka yao 10 ya uongozi haitawafanya wawe "chaguo" la miaka 10 ya mwingine ajaye (unless, Rwanda mpya au Uganda mpya izaliwe ndani ya Tanzania). Hivyo watachezea benchi ilihali wana nguvu za uongozi. Ni bora kuwa NAM tu katika awamu hii.
Ushauri tu.
haha wala haijui akilala akiamka anataifisha shuleKwani tuna Katiba mpya? Hebu acheni kucheza na akili za watanzania!
Katiba iliyoko ni ya mwaka 1977, Kama Rais haifuati hiyo huyo hatufai, Kwa maana nyingine ni kwamba ameapa uongo.
Ingawa tunahitaji Katiba inayokidhi mahitaji ya sasa.