Kamkuki
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 1,733
- 1,093
Hapo hakimuu kaamua kujilipua
Kamkuki nimeamini ni bora ushitakiane na serikali kuliko mtu wa kawaida, na hii inatokana na jinsi kesi baina ya mtu na serikali zinavyoendeshwa, ........ tujikumbushe kidogo huyu kigogo aliunda kampuni yeye na mke wake ya ku-supply vitu tanesco ambapo ni kosa kisheria, (matumizi mabaya ya ofisi) lakini mwisho wa mwisho hata ilo halikuonekana,....... inaniwia vigumu kuamini vyombo vinavyosimamia sheria.