Hakuna muajiri anayetaka vyeti feki waliajiriwa enzi za mazowea hizi sio enzi hizo.Kwani wakati wanaajiliwa, hao waajili kwanini hawakuhakiki vyeti, usikute wakati wanaajili mkataba wao na mwajili wa wakati huo alihitaji vyeti feki.. Magufuli analeta taratibu ambazo mwajili wa awali hazitambui.