Huenda hii ikakusaidia siku moja ili usiibiwe hela kwenye ATM

Umesema kweli kabisa.

KUNA WIZI UMETOKEA BENKI


Jambazi akasema "wote laleni chini pesa
ni za serikali na maisha ni ya kwenu",
wote wakalala chini (HII INAITWA
DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha
njia ya
kawaida ya kufikiria)

Kuna dada kwa woga akawa
amelala chini kimitego, Jambazi
akamwambia, "dada hebu kuwa
na adabu chukua kanga jifunike hili ni
tukio la ujambazi na sio la
ubakaji.? (HUU UNAITWA WELEDI -
zingatia ulichofundishwa kufanya)
Walipotoka kwenye

wizi jambazi mdogo ambaye ana shahada
ya uzamili ya biashara akamwambia
mwenzake, "tuzihesabu hizi fedha.? Yule
mkubwa akamcheka
kwa dharau na kumjibu, "wewe
mjinga sana hizo hazina haja ya
kuhesabu saa mbili wata tutangazia
kwenye taarifa ya habari tumeiba kiasi
gani. (HUU INAITWA UJUZI - Siku hizi
ujuzi ndio bora kuliko vyeti)

Baada ya majambazi
kuondoka meneja akamwambia mhasibu
wa bank, " ujumlishie na zile milioni 80
tulizo iba sisi.? (HUKU KUNAITWA
KUOGELEA NA MKONDO WA MAJI -
kushabihiana na mazingira magumu kwa
faida binafsi.)

Mhasibu akafurahi na kusema, "dah wizi
ukitokea kila mwezi itakuwa burudani
sana.? (HUKU KUNAITWA KUWA NA
MAWAZO CHANYA - Furaha ndio kitu cha
muhimu zaidi)
Meneja kafurahi sana

kwa kuwa sasa matatizo yake
yametatuliwa
na wizi uliojitokeza. (HUKU KUNAITWA
KUTHUBUTU-shiki lia nafasi pale
inapojitokeza hata kama ni hatari kiasi
gani.

Haya usiku wake
taarifa ya habari
ikatangaza kuwa wizi mkubwa sana wa
million 100 umetokea leo benki.
Majambazi kuskia hivyo wakaanza
kuhesabu zile pesa lakini wakajikuta na
milioni 20 tu.

Yule jambazi mkubwa akashtuka na
kusema, "dah! yaani meneja kaiba mara
nne zaidi yetu bila kuchezesha msuli?
Bora umeneja kuliko ujambazi.? (HII
INAITWA

ELIMU NDIYO KILA KITU - ishike sana
elimu ina nguvu kuliko chochote.)
Nice weekend

Mkuu mbona hii haihusiani na ulicho quote?
 
Wakisambaza hiyo taarifa majambazi nao watakuwa miongoni watakaojua sasa zikigoma unakula kipondo na risasi juu wanatumuka
 
Umesema kweli kabisa.

KUNA WIZI UMETOKEA BENKI


Jambazi akasema "wote laleni chini pesa
ni za serikali na maisha ni ya kwenu",
wote wakalala chini (HII INAITWA
DHANA ...YA USHAWISHI - kubadilisha
njia ya
kawaida ya kufikiria)

Kuna dada kwa woga akawa
amelala chini kimitego, Jambazi
akamwambia, "dada hebu kuwa
na adabu chukua kanga jifunike hili ni
tukio la ujambazi na sio la
ubakaji.? (HUU UNAITWA WELEDI -
zingatia ulichofundishwa kufanya)
Walipotoka kwenye

wizi jambazi mdogo ambaye ana shahada
ya uzamili ya biashara akamwambia
mwenzake, "tuzihesabu hizi fedha.? Yule
mkubwa akamcheka
kwa dharau na kumjibu, "wewe
mjinga sana hizo hazina haja ya
kuhesabu saa mbili wata tutangazia
kwenye taarifa ya habari tumeiba kiasi
gani. (HUU INAITWA UJUZI - Siku hizi
ujuzi ndio bora kuliko vyeti)

Baada ya majambazi
kuondoka meneja akamwambia mhasibu
wa bank, " ujumlishie na zile milioni 80
tulizo iba sisi.? (HUKU KUNAITWA
KUOGELEA NA MKONDO WA MAJI -
kushabihiana na mazingira magumu kwa
faida binafsi.)

Mhasibu akafurahi na kusema, "dah wizi
ukitokea kila mwezi itakuwa burudani
sana.? (HUKU KUNAITWA KUWA NA
MAWAZO CHANYA - Furaha ndio kitu cha
muhimu zaidi)
Meneja kafurahi sana

kwa kuwa sasa matatizo yake
yametatuliwa
na wizi uliojitokeza. (HUKU KUNAITWA
KUTHUBUTU-shiki lia nafasi pale
inapojitokeza hata kama ni hatari kiasi
gani.

Haya usiku wake
taarifa ya habari
ikatangaza kuwa wizi mkubwa sana wa
million 100 umetokea leo benki.
Majambazi kuskia hivyo wakaanza
kuhesabu zile pesa lakini wakajikuta na
milioni 20 tu.

Yule jambazi mkubwa akashtuka na
kusema, "dah! yaani meneja kaiba mara
nne zaidi yetu bila kuchezesha msuli?
Bora umeneja kuliko ujambazi.? (HII
INAITWA

ELIMU NDIYO KILA KITU - ishike sana
elimu ina nguvu kuliko chochote.)
Nice weekend
U are very shallow.
 
Mkuu tuchukulie mfano namba ya siri ikawa 1991, kwa njia zako ulizozieleza tuingize neno la siri kinyume, huoni kama kuna exception na mtu ataibiwa kama kawaida.

Ndio maana hua wana shauri kwenye namba ya siri usirudie namba mara mbili au zaidi,inatakiwa kuchanganya namba tofauti,kwa mfano 9358
 
Mchina tena????!
Screenshot_2017-01-29-12-41-24.png
 
Mkuu
Je utengenezaji wa vocha hutumia mfumo wa ENCRIPTION?
sijui kakujibu vipi ila kama mtaalamu wa IT nadhani vocha zina algorith maalum inayotengeneza zile string tunazoona, unaweza sema ni encryption sababu mwisho wa siku inatakiwa kompyuta itambue namba ulizoingiza na ku translate thmani ya vocha endapo ni sahihi na kuangalia kama haijatumika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom