Huduma za serikali zilizopo mipakani ni rahisi wasio raia kufaidika mfano elimu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
5,771
14,692
Nikweli kabisa mipakani kuna muingiliano mkubwa na muingiliano kwenye mipaka kuna jamii na vijiji vinavyo kuwepo vikipata huduma za serikali kama shule ,matibabu na n.k.
jambo ambalo linaweza kumpa mtu fursa kupenya haraka ni ili swala la elimu kuanzia shule ya msingi pale wanafunzi kutoka upande mwingine kunufaika na huduma ya nchi nyengine na kujikuta anaingia mpaka chuo kikuu nchi hiyo na huku ikimuonesha ni mtu wa nchi hiyo labda kiwe cheti cha kuzaliwa au na cheti nacho kinaweza kupata kwenye huduma hiyo hiyo kutokana na muingiliano.
ni kweli ili au ni uvumi
 
Back
Top Bottom