Huduma Ya Channel Kwenye Startimes

ustadhiommy

New Member
Apr 20, 2017
2
0
Wadau kama unatumia kingamuz cha startimes nyumbn kwako kile cha anternal au dish naingiza channel za dstv Ziko 109 na Za Azam TV ziko package 3 popote ulipo nakupa huduma unachofanya unanitumia smart card nakupa huduma nafanya 45000 mwaka mzima free kwa information call 0717176488
 
Halafu ikikata baada ya siku mbili nawapata wapi? Ofisi zenu ziko wapi?
 
Jamani ndugu zangu huyu jamaa ni tapeli .ameshaniliza pesa zangu mwaka Jana na channel niliziona siku moja tu kisha zikapotea kumpigia simu hapokei.

Pia hata humu jf kuna Uzi ulishawekwa kumhusu huyu jamaa .watu walitahadharishwa waupuke huyu jamaa ni mwizi na tapeli
 
hahahahaha ustadh mwidh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…