huawei ascend y300 unlock is here!!!!

Zimeisha kote.Nafhani Tigo wataagiza tena kwani imeonekana zinapendwa sana na watu.
 
Bado nawatetea jamaa, nilishaunlock simu mbili kwao, na niko mkoa!

ANGALIZO: Mimi ni mteja wao tu, siyo mdhamini (hahahahaa)

Kwa staili hii ya uteja nadhani lazima utakuwa umeuziwa share au unakula kamisheni kwa kila kichwa unachopeleka. Tehe tehe tehe.... Mi sio dalali ila ni mchangiaji tu wa huu uzi. :smile-big:
 
Back
Top Bottom