How to root sony experia z C6603; Android 5.0.2 lollipop

stable-negro

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
509
347
Aliyewai kufanya rooting ya design hii akafanikiwa, 2share maujuzi tafadhali.....nawasilisha!!!
 
step 1: download "root checker basic" kutoka playstore then dowload na install kingroot kutoka link hii http://downloadandroidapkget.blogspot.com/2015/05/download-kingroot-apk-latest-version.html?m=1 (utaziona zipo kama tatu tofauti ila wewe chukua ile ilioandikwa latest version)

step 2: fungua root checker yako halaf click sehem palikoandikwa verify root status; itarespond na kukwambia "sorry, the root access is not properly installed in this device"...usiogope hapo ni kwamba unafanya test kama device yako iko rooted tayari au bdo (hii ndo sehem utayokuja kuconfirm kama device yako imekuwa rooted successful baada ya kuiroot) then close root checker app.

step 3: connect device yako na internet ambayo iko strong halaf nenda ufunguae kingroot app ulioinstall then unatouch button iliyoandikwa "try to root" (ukifika hapa hutakiwi kuiinterupt device yako kw namna yeyote ile just iache mpaka imalize process yote halaf itajirestart (device yako inaweza ikajirestart zaidi ya mara mbili so usiwe na wasiwasi ikiwa hivyo iache mpaka iwe kama kawaida unavyoireboot) ikishamaliza utaona kuna application 2 zaidi zimeongezeka (king user na king master ambayo hii inakujaga na maneno ya kichina kwa hiyo isikutishe)

step 4: baada ya hapo unarud tena kwenye root checker yako then unatouch sehem ile ya hatua ya pili...hapa status ya device yako itaonekana kama iko successful rooted au bado, kama utakuwa bado haujawa granted root access jua kuna some errors zilitokea so utarudi kwenye kingroot yako utaenda kuclear errors zilizotokea during the process; utatumia button ile ile ya "try to root" hapa siyo kwamba process itaanza tena upya, hapana bali errors tu ndo zitafanyiwa kazi (hapa device itajerestart tena baada ya kuclear errors)

step 5: jaribu tena kuconfirm status ya device yako na root checker...then you are ready to go ( your device will be rooted)

"baada ya hapo unaweza kutumia king user kumanage apps zako zote zinazohitaji root access"
 
Aliyewai kufanya rooting ya design hii akafanikiwa, 2share maujuzi tafadhali.....nawasilisha!!!

Njia rahisi kuroot xperia z c6602 na c6603 probably na zingine kwenye familia ya xperia z

mahitaji
1. kingroot ---> download hapa
2. terminal emulator ---> download hapa
3. replace kinguser with supersu.zip ----> download hapa

maelekezo namna ya kuroot

1. download, install kingroot kisha root simu yako kwa kubonyeza root button (easy enheee) kama unaipenda hii app waweza ishia hapahapa, ila kama ni mshabiki wa supersu kama mimi tuendelee step inayofuata..

2. download terminal emulater google play au popote, kisha download file namba tatu (replace kinguser with supersu.zip) liko in form of zip li unzip kisha utaona folder limeandikwa [FONT=Hind, sans-serif]mrw [/FONT]liweke kwenye internal storage, kisha fungua terminal emulator na uandike
Code:
su
itaomba root permission ikubalie, kisha endelea kuandika pale pale kwenye terminal emulator
Code:
[/SIZE][COLOR=#454545][FONT=Hind]sh /sdcard/mrw/root.sh[/FONT][/COLOR][SIZE=3]
itafanya yake na itakuwa imereplace kinguser na supersu

3. itaonesha errors ila usijali zi cancel tu, nenda kwenye supersu update binary

4. restart,

voilaaaa, simu yako itakuwa rooted na supersu ndani

maelezo kwa msaada wa xda-devs forum
 
Back
Top Bottom