Housegirl anililia nisiondoke, baba anamtumia kingono

Tajiri yenu huyo house girl kwanini asiondoke yeye kama baba yako anampa shida?!

kwanini asiondoke.

Kwani huyo house girl ni mdogo kiasi cha kutojua cha kufanya? Namaanisha aondoke hapo home kama kweli hapendi hicho kitendo badala ya kuendelea kubakwa. Labda huenda na yeye kishaona fursa ya kuwa mke, u never know bana maana hawa mabintizetu hawana cha mzee wala mtoto
nimejaribu kumshauri wakuu ila alikuwa analia tu
 
Kama kweli unamuonea huruma huyo dada. Mtoroshe mpe nauli aende kwao. Ukikaa kimya utakuwa umeridhia dingi kumbaka mtoto wa watu.
Na yeye analilialia nini? Haoni njia ya kuondokea? hana ndugu wa kuwasiliana nae wamtumie nauli aondoke? kinachomfanya aendelee kubaki hapo kwa dingi ni nini?
maswali ni mengi mno.
 
hao ndo wazee wa mwendokasi....ukizubaa hata demu wako anapitiwa..................be aware.....
 
Kama kweli unamuonea huruma huyo dada. Mtoroshe mpe nauli aende kwao. Ukikaa kimya utakuwa umeridhia dingi kumbaka mtoto wa watu.
Na yeye analilialia nini? Haoni njia ya kuondokea? hana ndugu wa kuwasiliana nae wamtumie nauli aondoke? kinachomfanya aendelee kubaki hapo kwa dingi ni nini?
maswali ni mengi mno.
huwezi kujua hali aliyoiacha huko kwao mkuu
 
duuuuuuuuu!!!!! unamoyo mtu wangu unaamua kuja kumdhalilisha mzee wako humu, sidhani kama kweli ni mzee wako labda baba wa kambo. kwani H/girl anabakwa au anatoa kwa free consent kama anaconsent na n mtu mzima basi achana nae mzee ale make ushasema mother hayupo unategemea ugumu ataupeleka wapi na kama H/Girl n mdogo anabakwa au anatoa kwa kuogopa beat analopigwa na mzee basi jitolee kumsaidia katoe taarifa police make kama story umeileta humu hata hilo utaweza pia. Asante sana
 
samahan mama hii ni engenering enhee
"mimi bado nipo mwaka wa 4 chuo ukiwa ndo wa mwisho kwangu"
 
Kama unamweshimu baba yako mshauri huyo housegirl aondoke ila jua unaweza ukawa Na matatizo Na baba yako akijua wewe ndio umemtoa hapo jua huyo Dada Wa kazi ila chunguza je huyo Dada Wa kazi sio kakuambia tu ili ujue kuwa yeye ni mama yako mdogo akiwa Na Mzee wako wanacheka
 
Back
Top Bottom